Recent content by fikiriakwanza

  1. F

    Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

    Huyo anahitaji maombi ,mpeleke kwa Mwingira Mwenge
  2. F

    Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

    hwaw ogopeni Mungu madaktari na serikali,mnapogombani ninyi sisi ndio tunaoumia.Chonde chonde viongozi wa dini saidieni serikali maana hawa wote sasa hatujui yupi kichaa wote wanafukuzana uchi.,mwenye nguo na anayekimbia nazo hatujui yupi si kichaa.Aanzishe mgomo mwingine ashitakiwe mwingine sas...
  3. F

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Acheni hizo.kwani JK amewafanya nini?Amekuta mfumo mbovu,cha kufanya ni kupambana na mfumo sio mtu kama JK
  4. F

    Kwa wazazi: soma hapa tafadhali

    hauko serious,utampoteza mapema mwanao,akiwa teja utakasirika?
  5. F

    Enzi ulipokuwa boarding

    Nakumbuka kwa raphael,kuna siku ticha aliniomba kwenda kumuuzia mchicha wake pale sokoni kituo cha kwa rafael,sijawahi kufanya business kama hiyo nakuambia ilikuwa noma sana kwangu.nilianza asubuhi kufika mchana saa sita nikarudi shuleni maana nilikuwa boarding pale Lyamungo.
  6. F

    Matokeo NBAA may Exams

    hawa jamaa wa NBAA tuliwaamini kumbe si lolote,nimesiti paper moja kwa zaidi ya mara tano sasa ila majibu ni yaleyale,usahihishaji wao na uandikaji wa waliohitimu ninautilia shaka sasa.Haiwezekani mtu apige mitihani sita wakati huohuo yupo serious na yuko fit hata ofisini anavyopiga mzigo...
  7. F

    Naomba Msaada: Ndoto hizi zimenitisha

    ndoto ni bayana,biblia imejaa ndoto kibao,farao aliota yusuph akatafsiri,mfalme wa babeli aliota juu ya sanamu yenye chuma,shaba,udongo etc,yusuph baba yake Yesu alioteshwa kuhusu Herode kumwangamiza mtoto hivyo akimbilie misri.Hivyo ndoto ni jambo halisi na la kweli,Babu Loliondo aliota na...
  8. F

    Kaeni chonjo na wachungaji/manabii/maaskofu hawa

    kila mmoja anaruhusiwa kuabudu jinsi atakavyo ili mradi havunji sheria,wewe unayetoa tafsiri ya neno la Mungu na kuwasema wengine kuwa tafsiri yao sio sahihi,hakuna mwenye hati miliki na tafsiri ya neno la Mungu.Hivyo kuwahukumu kuwa wasijiite mitume,nabii,etc sio sahihi,zidi kumwomba Mungu...
  9. F

    Nyumba inapangishwa

    nimeiona ni nzuri sana,kwa wale wanaohitaji ni mahali pazuri na panafikika.
  10. F

    Nauza ipod

    mhhhhhhhhhh ina ear phone??????
  11. F

    KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

    naunga mkono hoja kwa asilimia 100
  12. F

    Mazishi ya Shoga Ryan Dunn

    kweli kabisa ila wengine ni mashetani yaliyojibadilisha na kuwa kama binadamu ili wawatoe watu kwenye kweli ya Mungu.Piga moyo konde endeleea kuwaweka kwenye maombi walioingiliwa na mashetani haya.
  13. F

    Ikulu imetumia sh bilioni 53 toka mwaka 2003

    kwani hujaona matengenezo?ikulu imepakwa rangi kwa aliyepita maeneo ya ikulu anaweza kushudia hili.Labda aulize Value for Money.
Back
Top Bottom