Matokeo NBAA may Exams

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
Mods tafadhali naomba kama kuna uwezekano nayo tukawa tunaweza kuyapata humu...naamini kuna watu wanaweza wakawa na access nayo in advance walau tukawa wa kwanza kuyapata.
Ni hilo tu
 
hawa jamaa wa NBAA tuliwaamini kumbe si lolote,nimesiti paper moja kwa zaidi ya mara tano sasa ila majibu ni yaleyale,usahihishaji wao na uandikaji wa waliohitimu ninautilia shaka sasa.Haiwezekani mtu apige mitihani sita wakati huohuo yupo serious na yuko fit hata ofisini anavyopiga mzigo utamkubali halafu NBAA wanakuja na mambo yao,hii sio sahihi.Jamaa anamalizia ACCA ila NBAA bado wanakataa kumpa CPA yake.Kulikoni????????????
 
Kufeli mtihani si kwamba wewe ni kilaza, isipokuwa ni kwamba wakati wa mtihani wewe hukufanhamu yale yaliyoulizwa kwa ufasaha! Waweza kujiandaa kwa mwaka mzima uka feli na aliyee jiandaa kwa wiki moja akafaulu!!
 
Sawa met, karibu jamvini. Hongera kwako uliyeipata mapema!
 
hawa jamaa wa NBAA tuliwaamini kumbe si lolote,nimesiti paper moja kwa zaidi ya mara tano sasa ila majibu ni yaleyale,usahihishaji wao na uandikaji wa waliohitimu ninautilia shaka sasa.Haiwezekani mtu apige mitihani sita wakati huohuo yupo serious na yuko fit hata ofisini anavyopiga mzigo utamkubali halafu NBAA wanakuja na mambo yao,hii sio sahihi.Jamaa anamalizia ACCA ila NBAA bado wanakataa kumpa CPA yake.Kulikoni????????????

mkuu jaribu kujenga utamaduni wa kukubali matokeo, hakuna kuonewa hapo kaza msuli
 
Jamani matokea ya nov 2014 examination yanatoka lini?? Ma-opportunity yanatupita bhana
 
Back
Top Bottom