Kwa nini nusu uwanja umelogwa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini nusu uwanja umelogwa??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  [h=3]Ni mwili mzima![/h]

  Haina haja kuchezea kipande tu cha uwanja wakati mnaruhusiwa kiwanja chote na kuonesha skills zote kwa pasi za mbali na karibu loo![​IMG] Kisaikolojia wanaume wengi (si wote) ni genital aroused (wakiwa kwenye sita kwa sita huwaza sana south pole na kupeleka mkono sharp kama kupokea pesa bank), hata akiwa na Mwanamke anaweza kusisimua matiti na uke tu then akaendelea kuchimbua dhahabu yake na kwa namna na style zote anajua.

  Wanawake wao ni “Generally aroused” kwa maana kwamba kwao foreplay ni mwili mzima na mwili mzima kwake ni “one big sex organ” hivyo wana uwanja mkubwa sana wa mwanaume kuchezea kabla ya kwenda bondeni kuchimbua gold habari njema ni kwamba wanawake wanajua kwamba wanahitaji mwanaume mwenye mikono slow kuchezea uwanja mzima kabla ya south pole.

  Kwa Mwanamke erogenous zones si matiti na between the legs bali ni entire body, huwa Inaumiza sana wakati mwingine Mwanamke anakuta mwanaume hata kukisi tu anasahau na moja kwa moja anakimbilia kwenye clit.. kwa kuwa ni joy button, ni vizuri lakini unahitaji kuuandaa mwili mzima kwanza hadi mind yake ifunguke na kuwa ready kwa shughuli ndipo ukimbilie kwenye kisimi then nice sex moments.

  Wengi katika kujifunza masuala ya mapenzi (hasa wanaume) na hasa suala la kufanya maandalizi (foreplay) anajua kitu cha msingi ni kwenda moja kwa moja kubusu, kuchezea matiti kidogo (geresha tu) then anakimbilia bondeni na kuanza kupima kuona kama kuna unyevu wa kutosha ili mtambo uanze kuchimbua dhahabu huku anasahau kwamba lazima mwili mzima wa mwanamke lazima uhusike kupata matokeo mazuri ya dhahabu unataka kuchimbua, sex ni mwili, mood, ubongo na lazima vyote vijui kwamba kuna mitambo ya kuchimba dhahabu imefika.

  Mwanaume kukimbilia bondeni haraka hupelekea sex kuwa na utaratibu unao bore ambao mwisho husababisha Mwanamke kuepukwa sex kwani anajiona unamtumia kutimiza raha zako bila kumpa yeye raha.
  Kumpa mguso (emotional touch) kwa kumhudumia mwili mzima ambao kwa mwanamke ni kiungo kimoja cha mapenzi.

  Fikiria mwanaume umechelewa kurudi na unakuta mkeo kalala fofofo, kwa kuwa unahamu na kuwa mwili mmoja bila kusema chochote wala kujua mwenzio ameshindaje wewe moja kwa moja na mkono wako sharp unakimbilia kuanza kusugua clit.. yake, huo si ustaarabu kabisa, ni kukosa maadili ya ndoa (immoral) na unahitaji kufahamu kwamba kila kitu kina utaratibu wake huwezi kuweka unga kwenye maji kabla hayajachemka ukitegemea ugali utaiva na kuwa mtamu shauri yako utaishia kujaza unga hadi kiwe kitu kingine na si ugali tena.

  Pia kuna wanawake ambao maumbo yao huwa na kasoro kama unene sana, au kifua Kuwa flat kama mwanaume au matiti kuwa makubwa mno (Nido au mtindi, watermelon), huwa hawajisikii vizuri au kutojiamini (bad self image) na huwa na mtazamo negative so akiona wewe ume concentrate hapo anaanza kujisikia vibaya na husababisha kutojiamini (insecurity) then kutosisimka.
  Ni vizuri kujifunza strength na weakness za maeneo ya mke au mume wake ili kutosababisha kuharibu mambo pia ni muhimu mtu kujiamini kwamba wewe ni mzuri na kama ulivyo unaweza kuwa mtaalamu na kurishika na kurishisha mwenzako.
  Ni wewe so unaogopa nini na mume au mke ni wako.
  Wapo wanandoa ambao ni waoga na hawajiamini kiasi cha kushindwa kabisa kuwa uchi mbele ya mwenzake. Ni aibu na kupitwa na wakati.

  Pia utafiti unaonesha kwamba wanaume wengi waliooa ni wagumu sana lipokuja suala la kubusiana na wake zao wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa, wengi walikuwa wazuri sana kubusu wakati ndoa zilikuwa mpya na miaka inavyoenda basi wanazidi kupunguza skills na muda wa kubusu ingawa wanaonekana kwa sex ndo wenyewe skills zimeongezeka.
  Upendo daima!
   
 2. f

  fikiriakwanza Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekupata
   
Loading...