Nyumba inapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inapangishwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kabachubya, Jun 26, 2011.

 1. K

  Kabachubya Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nyumba inapangishwa ipo tbt kimanga karibu na kanisa la KKKT kimanga, ina pande mbili, kila upande unajitegemea luku, 2 bedrooms,bafu na choo,jiko seating room. Ipo ndani ya fence unapack magari mawili. Bei ni 250,000/= kwa mwezi, haina dalali. Kwa mawasiliano .

  0784 407068
  0717 123464
   

  Attached Files:

 2. f

  fikiriakwanza Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeiona ni nzuri sana,kwa wale wanaohitaji ni mahali pazuri na panafikika.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  O.k nashukuru kwa taarifa!!
   
 4. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Aise we ni noma unasema haina dalali kwani wewe ni nani? any way kula laki mbili nikupe m2 kwa ajili ya miezi 10 kama upo serious nicheki kwa 0755348169
   
 5. b

  brianjames11 Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabata KIMANGA NI KILOMETA NGAPI KUTOKA KATIKATI YA JIJI?
   
 6. K

  Kabachubya Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo vp? umbali ni 14km kutoka town. ni 2 km kutoka external.
   
 7. R

  Retreat JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tafadhali maelezo zaidi, ina maana ni pande mbili kila moja ina vyumba 2 au sijakuelewa vizuri? Kama itapungua mpaka 200,000/= ni PM.
   
 8. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Je mimi nikimleta mteja, yeye ndiye akinipa pesa za udalali wa kumleta? pia nakushauri uende tabata kimanga stendi kuna ofisi inaitwa True Road, karibu na Kwa Mpemba, atakusaidia kupata mteja.
   
 9. K

  Kabachubya Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Retreat ni sawa kabisa, kila upande una vyumba vi2, jiko,seatig rom na bafu+choo. bei ni 250,000/=
   
 10. K

  Kabachubya Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo vp mrekebishaji? nashukuru sana kwa ushauri wako. mimi sihusiki na mapatano wenu, akikutoa kwa sababu umefanya kazi ya kuitafuta na kumleta basi hiyo itakuwa haki yako.
   
 11. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mambo poa. sawa nimekupata Kabachubya.
   
 12. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  vp kwa laki mbili?
   
 13. R

  Retreat JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kabachubya nimekusoma fresh, na vipi sasa haishuki kidogo labda 200,000/=. Pia unapokea kodi ya muda gani? Miezi 3, 6 9 au mwaka? Vipi Maji yapo au ya kisima?
   
 14. K

  Kabachubya Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Retreat bei haishuki na kodi unalipa kwa mwaka mmoja. Maji yapo karibu sana, ni ya kisima.
   
 15. K

  Kabachubya Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo vp JF members? Hii nyumba iko wazi kuanzia mwisho wa mwezi huu, kwahiyo mkataba utaanza 1st of September 2011. Karibuni sana.
   
 16. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kula 200000
   
 17. K

  Kabachubya Member

  #17
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Njoo uione nyumba kwanza ndio uthaminishe. Kama utaona inathanami hiyo basi tutaelewana kuanzia hapo.
   
Loading...