Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

huyu ni kapuya jamani, naona ni yeye kabisa, aliyewahi kuwa waziri wetu muda mrefu...anayo pia bendi ya mziki wa kunengua, pia ni mwislam mwadilifu sana aliyewahi kuwahamasisha waislam nchini wawavalishe watoto wao baibui/buibui/a.k.a ninja....speechless!

Huko Kaliua ana miliki nyumba ya kulala wageni, ukiongozana na mtu wa jinsia tofauti na yako sharti uonyeshe cheti cha ndoa. Nashindwa kuelewa hapo akiulizwa cheti cha ndoa na huyo binti anacho?? Nyani haoni......
 
Maisha yenyewe mafupi mwacheni mzee wa watu ajipendelee
KICHENCHEDE kimejipendekeza
 
JAMANI NAFIKIRI KILA MTU AKIWEKA SENTENSI YAKE INAYOFANANA NA PICHA HIIITAKUWA VIZURI.....LOL
kapuya.jpg
Usijali hata hivyo kwa nyuma inatosha si lazima ugeuke!
 
Yani kamkandamizia kabisa halafu tazama suluali imenyanyuka inaelekea mambo yalisha changanya na mawazo yake hayakuwa tena katika mziki sidhani kama hata alikuwa anaendana na beats!
hahahahhahha................beat la msondo ye anacheza twist
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom