Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

japo sina uzoefu sana katika mahusiano lakini mpaka leo sina jibu ni nini hasa mwanamke anahitaji na unaweza ukafanya killa jambo ambalo ni jema lakini yeye bado akaonekana hajafurahi au unaweza fanya jambo lisilo na maana yeye akafurahia tena sana ni ngumu kuelewa kweli

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana.

Wanawake mnahitaji nini hasa?
 
Labda alikuwa hamridhishi jamani, ila dah, huyo nae kazidi maybe alikuwa na mapepo

Sasa ndo atajuta hao watatu wote watamkimbia hatamuona hata mmoja
 
mwanamke anahitaj kila kitu duniani....ILA, kikubwa, anahitaji mwanaume atayemuonesha UANAUME...ni asili ya wanawake kufeel wako chini ya mtu fulani...hata kama ana nin, awe mzuri vp...we muoneshe kuwa ni takataka tu, mkoromee inapobid mkate makofi.....tatizo, umesamehe mengi nawewe...ndo mana anakuona zoba,,,,we unamkuta na mwanaume afu unamsamehe?? umerogwa?
 
Kwanza mwanamke inabidi akupende kwanza lkn kama hajakupenda hata umpe nini watu watakuchapia kama kawa!
 
Superman, pole sana kwa mtazamo wangu uungwana wako umepita kiwango hadi mkeo anakuona zoba, kama unaweza anzisha mahusiano na totoz nyingine na uhakikishe anafahamu akiwaka nawe omba samahani tena ikiwezekana kwa kutumia maneno yake au maneno ya jumla jumla tu NILIPITIWA NA SHETWAIN. Kama huwezi kugonga totoz za kitaa, basi achana nae make anakuona zoba, haiwezekani ufanyiwe mambo yote haya eti kisa NDOA. Nani kakudanganya utakuja kufa kwa kihoro umuache mwenzako ana endelea kumegwa kama kawaida. Wanawake wengi wakigundua kuwa wanapendwa wanatabia ya kuwavuta waume zao Korodani kama ww unavyofanyiwa. Kuna siku atakuja na njemba zake hapo ndani kisha akuombe samahani wamgonge faster ukiwa unasikilizia
 
nimeipenda hii!! inaonekana uko makini sana!! na unaelewa kinachozungumziwa!! big up kaka!!
 
Kuna DVD ya semina ya ndoa aliendesha Mchj Mkumbo; ina majibu mazuri ya maswali yote katika uzi huu; wanaohitaji tuwasiliane kupitia e-mail hii ... phiveda@yahoo.com
Attention na muda .
Labda huyo jamaa yuko busy zaidi na kutafuta pesa kasahau kuwa anatakiwa kuwa na muda wa kuwa na mke wake.
 
mwanamke anahitaj kila kitu duniani....ILA, kikubwa, anahitaji mwanaume atayemuonesha UANAUME...ni asili ya wanawake kufeel wako chini ya mtu fulani...hata kama ana nin, awe mzuri vp...we muoneshe kuwa ni takataka tu, mkoromee inapobid mkate makofi.....tatizo, umesamehe mengi nawewe...ndo mana anakuona zoba,,,,we unamkuta na mwanaume afu unamsamehe?? umerogwa?

Kanda ya Ziwa nasikia wanawake wanaweka kanyama kwenye nyeti wiki nzima; akikatoa akampa mwanaume kwisha habari yake! Huyo jamaa sio kurogwa tu; kalishwa na kanyama ka wiki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom