KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

Huu ni usanii mtupu, kadi wanazinunua wenyewe harafu wanajifanya zimerudishwa na wana CCm, kama siyo msikhara watutajie majina na members waliorudisha kadi na tarehe zao za kujiunga. Hakuna impact hapa.
 
Mkuu hizo kadi siku hizi haziuzwi, hata sasa ukitaka utapewa bure pamoja na kulipiwa ada ya mwaka mzima...
 
Hayo maigizo yanatakiwa yaendane na idadi ya viti vya madiwani kama hayaongezi hata kata hayana maana.
 
Of all the people......Tundu Lissu!!!!!!...............................OMG...

This is too low for mheshimiwa Lissu.............
This is too high kwa sisi wapiga kura wake...

We nani hadi umseme Lissu vibaya.....

Nyie Magamba mwaka huu tunawashambulia pande zote hadi mshindwe kupumua...

Tunajua kufa hamtakufa ila cha moto mnakiona
 
Hawa watoto niliwaona wakizichukua zile kadi kwa mbwembwe nikawaonea huruma sana jinsi walivyopumbazwa wakaona CCM ni wenzao. Ukweli ni kwamba mkizichoma watatuibia watachapisha nyingine nyingi zaidi, watawahonga baadhi yenu kwa vijisenti kidogo na watawateka tena mtazichukua. Mabadiliko ya kweli ni kuwakataa CCM na mambo yao yote.......hapo tutakuwa tumepiga hatua.
 
Kuchoma moto ni kuonyesha hisia...........na bado! Ninawashangaa wabunge wengine wa ccm wanaimba amani eti amani ilindwe! amani ilindwe na mtu mwenye njaa......amabaye hajui jioni anakula nini!! wanaotaka amani ni wale ambao wanakitu cha kulindwa, wanamali walizowaibia wananchi! hivyo wanaogopa amani ikipotea na mali zao zitapotea. Hata mseme vipi.........watanzania wamepigika na wameshajua waliyowapiga/waibia! sasa endeleeni kusema kulinda amani badala ya kuleta unafuu wa maisha kwa watanzania muone kama hiyo amani itakuja au kuendelea kuwepo kwa maneno!!
 
Naunga mkono mia kwa mia kuchoma moto, tukitoka hapo ni kucharaza bakora mawaziri feki kama ngereja, kazi kujishoo badala ya kuhakikisha kuna umeme. Tangu 2002 mpaka 2011 bado serikali inaangalia uwezekano wa kuchukua hatua kulimaliza tatizo la umeme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hivi ngereja ana nini cha ziada kila wakati ye ni wazir wakati mporomoko wa uchumi wa nchi ukisababishwa na yeye? tujipange kucharaza bakora mafara wanao tuharibia uchumi.
 
This is too high kwa sisi wapiga kura wake...

We nani hadi umseme Lissu vibaya.....

Nyie Magamba mwaka huu tunawashambulia pande zote hadi mshindwe kupumua...

Tunajua kufa hamtakufa ila cha moto mnakiona

This is too low for you too..........

Sijaelewa umeongea nini hapo..........Ninachoona ni mapovu tu yaliyoambatana na pumba mingiiiiiiiiiiiiiii...........
 
Of all the people......Tundu Lissu!!!!!!...............................OMG...

This is too low for mheshimiwa Lissu.............

This is too high not only to Lissu and CDM but to all people of this nation especially for the development of our country.
 
This is too high not only to Lissu and CDM but to all people of this nation especially for the development of our country.
Duh..........Hii kali.....Maendeleo ya nchi kwa kuchoma kadi za chama kingine!!!!!!!!!!!!!..............Only in Tanzania.............
 
Back
Top Bottom