Msimshitue jaman waungwana na mim nikamtengeneze huko huko kwenye facebook nataka nikajirengeshe anipe namba yake ya simu au namba ya akaunt yake akinipa tu ajue kaumie namkombea vijisent vyake vyoote.
Mjini shule.
Hapo lazima mwanzisha thread lazima atakuma alikuwa kesha piga kijiti,banana au kiroba .
Zilimchanganya zaidi alipokutana na mwanga wa simu alipofungua jf ndiyo mana kapost *****??
Duu mkuu hapo kwenye karanga hunifikii mim huwa nakula daily kitambo nilikuwa asubuh nakunywa chai na karanga mbich robo na usiku nakula robo na juice sema nilikuwa nafanya sana zoezi.
Kuanzia viaz now ni sum vinaoteshwa na madawa chungu nzima.
Ukija kwenye mapishi nako balaa mbali ya kupikia mafuta zaidi ya mara 3 wahun huchanganya na mafuta ya transformer.
Ukija kwenye viungo huko ni balaa tupu chear source,tomato na mayornase ni sumu tupu imejaa.
Kingine watu...
Kweli bongo elim haina nafasi sana ukienda mitaa ya k/koo mafundi sim weng wataalam ni wamitaan tu hawajapitia hata school zaid wamejifunzia vichochoron.
Hakuna lisilowezekana chini ya jua mkuu.
mkuu kwan mfumo wakutumia satelite dish na receiver ni mfumo wa digital au analog??
Hebu soma thread mara ya 2 na uelewe mleta mada analalamikia kitu gan??

Si ungimkono hoja.
Wewe unataka kuihalibu jf na kuhatarisha uhuru ,maisha na mwenendo wa maisha ya wana jf.
Hivi ishu kama ile ya mwakyembe na polium iliyo andikwa na mkuu JB kama itatokea huyo JB akaja akafahamika au siku 1 akaonekana kwenye hicho kipind unategemea itakuwaje??
Au kwa...
ok kama inawezekana inaweza kupiga kazi fresh mpaka kiwango gan??
Mim niliwah jaribu hiyo kitu lkn ilikuwa inajizima kwenye circuit breaker. Je hapo tatizo ni nin??
Na unaweza ukawasha tv,fen,taa na redio kwa kutumia style hiyo ya earth wire??
Mkuu hiyo kitu sijui kama itakubali mim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.