Car immobilizer help me plz?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Car immobilizer help me plz??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ENGINE CONTROL, Feb 23, 2012.

 1. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba mnijuze na kunisaidia juu ya hii ishu ya car immobilizer.
  Kuna suzuki v6 imetia lock ya immobilizer so gari haiwezi waka .Je kuna njia yoyote yakuweza kuanlock immobilizer??

  Naomba kama kuna yeyote mwenye ufaham wa hili anisaidie.

  Je inafanyeje kazi?
   
 2. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Ok gari inakaa switch on?source ilikuwa nini gari kuoshwa?ulihamisha battery? i can do for you lakini jiandae pm me!  gamestop, btjunkie, games
   
 3. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Au kama kunauwezekano wa kuidisconnect au naweza kuutoa mfumo wake kabisa kipindi hiki wakati imejitia lock.
  Kama kunayoyote anajua inafanya vipi kazi ningeomba anijuze wataalam ili nichanganue ni wapi nianzie kuichinjilia mbali au kuinjunga.
   
 4. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  inagharimu mno kuliko kufanya marekebisho br
   
 5. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu naomba ufunguke basi ilinikuelewe.??
   
Loading...