Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako!

EMT, asante kwa objectivity yako kwenye hii issue. Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe na sababu zako ni za msingi. Mpaka sasa nimeshaona mwelekeo, najua kusoma alama za nyakati, better be safer than sorry!. The way it is jf is safe the way it is, better it remain safe, kuliko ku venture into something new ikaja kuwa sorry.
Naheshimu msimamo wako.

Mkuu ningekuunga mkono kama ungekuja na maoni tofauti on how JF owners and members can expand and tap into the untapped population and romote areas, but not in the way you have proposed. Ni kweli kuna tatizo la link kati ya social media na traditional media. This is worldwide problem, na siyo Tanzania tuu. Follow me on Twitter or Like Us of Facebook is not a truly intergration of traditional media to social media. JF inaweza ika-showcase its content on the TV, but I am not 100% convinced that your proposed project is the best option.

Nafikiri tatizo kubwa, you came here with a proposal. You have already made up your mind on what you wanted to do. When you have already decided to do something and then come out to seek permision of doing it or ask someone to tell you how to do it, you are asking for a process that you can replicate. But that is just one process. Sure, it might have worked for others in the past and maybe it will work for you this time, but is it truly replicable? Will it work tomorrow or the day after that?

So, instead of coming here seeking permission or mawazo on what you have already decided to do about integrating JF with traditional media, may be you should have asked how to think about integrating JF with the old media. You need to ask for a framework, not a solution or permission.

If JF members give you a framework for thinking, they will empower you to think for yourself. If they give you a process to replicate, well, they will just make you reliant on them to give you a new process when the old one finally fails to be effective because of a number of reasons including uchakachuaji. Mind people are like bacteria, they will grow immune against the programme hasa kukiwa na uchakachuaji.

So, think careful. I am sure you wouldn't like the programme to die like Kitimoto.
 
Kumbe Pasco na Pascal Mayalla ni mtu mmoja. lol. Usikate tamaa kutokana na our critical analysis your project. The issue still remains that there is a need to find a framework for intergrating traditional media and social media. There is a need to bring both the traditional and social media background and experience into one table.

Kitu muhimu cha kujua ni kwamba when used in conjunction with social media, traditional media can be an extremely powerful response-generating tool. But whilst people are moving online, the traditional media still thinks that theirs is the ONLY medium of choice. Lakini ukiangalia the the most watched videos on YouTube are those that bought their popularity through the traditional media.
 
Nasisitiza Pascal Mayalla ni mimi , I'm a really human being with a really name na sasa nilitaka kufanya really things, kuipaisha zaidi jf. Niliwahi kusema sio mara moja sio marambili, Pasco wa jf, pia namfahamu, he is not a really being ni just a pen name. Waliomsoma Sigmund Freud, kwenye story ya Dr. Jeckelly and Mr. Hyde wataelewa nazungumzia nini.

Umesoma sheria UDSM wewe?

Wakatabahu,
Bwa'Nchuchu aka Sungusungu wa sarufi.
 
MTM, huyu sasa ni Pascal Mayalla, the real one. Pasco ni Pasco ana mawazo yake na bias zake na mimi Pascal Mayalla ni mtumishi wa watu, kipindi ni cha kuwatumikia watu, ukipitia script utaona nimejaribu ku strike the balance kati ya wadau mbalimbali.

Mkuu Pascal baada ya kufuatilia mijadala yako mingi hapa ukumbini napenda kukufahamisha kwamba si rahisi kabisa kutenganisha mawazo ya Pascal Mayalla na yale ya Pasco, ni lazima utalalia upande mmoja tu ili nawe unukie mafuta uzuri kama ulivyowahi kuandika hapa wiki chache zilizopita. Iache tu JF iende kivyake vyake tangu ilipoanzia hadi ilipofikia imeshapiga hatua kubwa sana na ushahidi wa hili ni jinsi magamba wanavyoiogopa JF.

Wangeweza wangeshawamwaga FFU hapa watembeze virungu, kumwagia maji ya pilipili na pia kupiga mabomu ya machozi ili kutawanya mkusanyiko mkubwa unaukuwepo hapa kila siku iendayo kwa Mungu.
 
Mkuu pascal Mayalla,
Nimekusoma vizuri umesema utajiepusha na siasa katika maoni yako na umetaja baadhi ya members wa JF kama utajikita katika mambo ya jamii peke yake hiyo michango ya jukwaa la siasa utaipataje, na ni vigumu kuchukuwa mambo ya kijamii kwenye siasa na siasa kuiweka pembeni au utatumia mbinu gani?
 
Pascal Mayalla umetoa wazo zuri, nakuunga mkono. Nimependezwa zaidi pale ulipoainisha kuwa kipindi tarajiwa hakitajihusisha na siasa. Ok fine, but there are lot of complications. Mambo mengi ya kijamii yanahusishwa na siasa, kwa hiyo unaweza ukawa makini sana kuchambua nini kisiingizwe lakini kwa namna moja au nyingine mkajikuta siasa hazikwepeki.

Naunga mkono hoja yako ya kuanza kipindi, kisha tukaona impact yake ndipo maoni yatolewe ya kukiendeleza au kukisitisha.

Katika post zako za nyuma umeongelea kifo cha kipindi chako cha zamani 'kitimoto' nakumbuka kilikuwa 'chamoto' kweli. Pia pole sana kwa yaliyokusibu Italy.

Je kipindi kitakuwa cha muda gani? Pia angalia uwezekano wa kuingiza maoni mapya, papo kwa hapo ya wadau wa JF wakati wa kurekodi kipindi, kupitia Computer zetu kwa wale wasiotaka kujitokeza kwenye kamera.

Nakutakia kila la kheri.
 
Wazo zuri, you have my full support on condition kuwa siasa iwe sehemu ya mjadala huo - huwezi kuzungumzia au kujadili mambo yenye mwelekeo wa kisiasa bila kuingiza siasa. Wenye kutaka kulaumu CCM waruhusiwe kufanya hivyo na wenye kutaka kuitetea wafanye hivyo nje ya hapo itakuwa ni kujaribu kuzungumzia kila kitu isipoikuwa "the big elephant in the room"
 
Mkuu pascal Mayalla,
Nimekusoma vizuri umesema utajiepusha na siasa katika maoni yako na umetaja baadhi ya members wa JF kama utajikita katika mambo ya jamii peke yake hiyo michango ya jukwaa la siasa utaipataje, na ni vigumu kuchukuwa mambo ya kijamii kwenye siasa na siasa kuiweka pembeni au utatumia mbinu gani?
Ritz, namna pekee ya kuepuka siasa ni kwa kukaa mbali na kupoliticise kila kitu. Mfano mgomo wa madaktari, ni serious issue katika jamii na watu wamepoteza maisha ni sawa na damu imemwagika!. Kwenye mgomo huo kuna serious issues za madai halali ya madaktari, hii ni fact sio siasa!, kitendo cha madaktari kulazimisha ukumbi, kugomea kukutana siku ya Jumapili na serikali kufanya dilly dallying, Pinda kutisha nyau na hatimaye kuwapigia magoti, hizo zote ni siasa za mgomo. Mimi nitafocus kwenye issues, jee ethicks za madakitari zinaruhusu kugoma?, kama haziruhusu mbona wamegoma?, jee serikali ilitimiza wajibu wake?, kama haikutimiza nani amewajibishwa?. Bibi Nyoni hajawajibishwa bali kasimamisha kumchunguza tuhuma za ufisadi!.

Sasa mgomo umekwisha, tumejifunza nini kwa mgomo huu?
 
MTM, huyu sasa ni Pascal Mayalla, the real one. Pasco ni Pasco ana mawazo yake na bias zake na mimi Pascal Mayalla ni mtumishi wa watu, kipindi ni cha kuwatumikia watu, ukipitia script utaona nimejaribu ku strike the balance kati ya wadau mbalimbali.

Pascal Mayalla

Kimsingi wazo lako ni zuri lakini nina wasiwasi na dhana ya kutumia TV mbalimbali za Tanzania ambazo hazina uhuru wa kifikra ukilinganisha na JF. Matatizo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania ni matokeo ya serikali legelege, sheria za hovyo hovyo, viongozi kutokuwa waadirifu, wachoyo sana la muhimu kwao ni familia zao kuliko Watanzania, hawasikilizi watu, wanatembelea nchi nyingi sana lakini hawajifunzi lolote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania, hawapendi kukosolewa, wazembe kuchukua maamuzi magumu. Je vipindi vyako vitabadilisha haya mapungufu kwa vipi?

Tunataka sana JF iendelea kutupa forum ya kutoa mawazo yetu ingawa tunajua watawala hawana muda nayo lakini siku moja Watanzania kwa wingi wao watasema HAPANA.
 
Wazo zuri, you have my full support on condition kuwa siasa iwe sehemu ya mjadala huo - huwezi kuzungumzia au kujadili mambo yenye mwelekeo wa kisiasa bila kuingiza siasa. Wenye kutaka kulaumu CCM waruhusiwe kufanya hivyo na wenye kutaka kuitetea wafanye hivyo nje ya hapo itakuwa ni kujaribu kuzungumzia kila kitu isipoikuwa "the big elephant in the room"

Mzee Mwanakijiji,

Upo sahihi, siasa inagusa kila mtu hata ambaye hajui siasa au chama cha kisiasa ni kitu gani. Kama tunaendelea kuwa na siasa ambayo si kwa ajili ya watu bali kwa ajili ya watawala basi maendeleo ya nchi hii yataendelea kuwa legelege. Ni muhimu watu kukosoa vyama vya siasa na mifumo mbalimbali ambayo hukwamisha harakati ya kuinua maendeleo ya wananchi.
 
Si ungimkono hoja.
Wewe unataka kuihalibu jf na kuhatarisha uhuru ,maisha na mwenendo wa maisha ya wana jf.

Hivi ishu kama ile ya mwakyembe na polium iliyo andikwa na mkuu JB kama itatokea huyo JB akaja akafahamika au siku 1 akaonekana kwenye hicho kipind unategemea itakuwaje??
Au kwa ishu na ***** ufanywao na mafisad na kuanikwa hapa jf unafikiria kama member wangekuwa wanajurikana ingekuwaje??

Kama unataka mambo hayo jianzishie na wew jf ya kwako.

Napata mashaka na wew yawezekana umetumwa na hao mapapa wa ccm.

Angalia sana kijana njaa itakuja kukuua acha kutumika vibaya.

Naona wew unataka watu waache kufichua mauozo ya mafisadi
 
Wazo zuri, you have my full support on condition kuwa siasa iwe sehemu ya mjadala huo - huwezi kuzungumzia au kujadili mambo yenye mwelekeo wa kisiasa bila kuingiza siasa. Wenye kutaka kulaumu CCM waruhusiwe kufanya hivyo na wenye kutaka kuitetea wafanye hivyo nje ya hapo itakuwa ni kujaribu kuzungumzia kila kitu isipoikuwa "the big elephant in the room"
Mzee Mwanakijiji, ni kweli siasa ndio kila kitu kwenye mustakabali wa nchi yetu na haikwepeki, nimekuwa mfuatiliaji wa talk show zetu, nyingi hazina kitu zaidi ya kujikomba komba tuu kwa watawala na pia nimezifanyia study hivi vituo vya TV na Redio, vingi vipo vipo tuu kwa malengo fulani na vingine vimeisha jifungamanisha na makundi fulani ya kisiasa, mfano Lowassa hata afanye jema gani, kamwe hawezi kutokea kwenye ITV no matter what, huu ni uthibitisho wenye tv yao wameishajipanga wataside na nani na chama gani kuelekea 2015, hata vyama vingine kama vitapewa nafasi, ni kujibaraguza tuu ili watu wasishtukie dili.

Uchaguzi wa 2010 tuliona jinsi Tido alivyofanya kazi nzuri na TBC, na wengi mnajua kilichompata. Kwa kifupi, politics is a dirty game, lets start with a clean game tuone mchezo unachezekaje, vituo vipi vitakubali, halafu kidogo kidogo tuta test zali la politics tuki manage ku survive, then ndipo tunaingia jumla!.

Kuna thread yako fulani ya Dec. 1998 naitafuta nitakuuliza kitu.
 
kweli siasa ndio kila kitu kwenye mustakabali wa nchi yetu na haikwepeki, nimekuwa mfuatiliaji wa talk show zetu, nyingi hazina kitu zaidi ya kujikomba komba tuu kwa watawala na pia nimezifanyia study hivi vituo vya TV na Redio, vingi vipo vipo tuu kwa malengo fulani na vingine vimeisha jifungamanisha na makundi fulani ya kisiasa, mfano Lowassa hata afanye jema gani, kamwe hawezi kutokea kwenye ITV no matter what, huu ni uthibitisho wenye tv yao wameishajipanga wataside na nani na chama gani kuelekea 2015, hata vyama vingine kama vitapewa nafasi, ni kujibaraguza tuu ili watu wasishtukie dili.

Uchaguzi wa 2010 tuliona jinsi Tido alivyofanya kazi nzuri na TBC, na wengi mnajua kilichompata. Kwa kifupi, politics is a dirty game, lets start with a clean game tuone mchezo unachezekaje, vituo vipi vitakubali, halafu kidogo kidogo tuta test zali la politics tuki manage ku survive, then ndipo tunaingia jumla!.

Kuna thread yako fulani ya Dec. 1998 naitafuta nitakuuliza kitu.

Yaani wewe Paco unakosoa kitu kimoja na unarudia kile kile na wewe kuwa kama wale wale unawakosoa kuonyesha biasness Toward or aganist fulani sababbu ya Lowasa .

Yaani katika watu ambao hawatokei ITV hata wakifanya Jema fulani ni Lowasa tu?????!!!!!

Kwanza
  • sasa hivi Lowasa ni nani mpaka atokee kwenye TV kwa frequency unayoenda wewe.?
  • Kwa nini usiseme Msuya au Warioba au Malechela au Sumaye au hata Mwinyi ????? Mara ya mwisho umewaona hao kwenye ITV lini? Tena kumbuka niionaika hao hawakujiuzulu....
  • Kama TBC mali ya umma inapendelea iweje unshangaa ITV chombo cha mtu binafsi. Au unashangaa kupeneela kwa ITV sababu muathirika ni Lowasa. ohhhhhhh Punguza Punguza punguza mkuu ??????

Usilazimishe watu wacheze "hip hop" wakati mziki unapigwa ukumbini ni "bolingo".Kama wewe Pasco Mayalla unaweza cheza "hip hop" kwa mapigo ya "bolingo" endelea..

BTN
Wazo la kipindi zuri lakini usichakachue maana tayari kwenye hiyo comment niliyonukuu umeshaonesha ushabiki...... Pasco usidhani wewe si mmoja wanaocheza dirty game kwa kujua au kutokujua.
Jitahidi hicho kipindi kiwe neutral. Usije ukakitumia kurusha so called "mema ya Lowasa" ambayo ITV wanamyima.
 
Mzee Mwanakijiji, ni kweli siasa ndio kila kitu kwenye mustakabali wa nchi yetu na haikwepeki, nimekuwa mfuatiliaji wa talk show zetu, nyingi hazina kitu zaidi ya kujikomba komba tuu kwa watawala na pia nimezifanyia study hivi vituo vya TV na Redio, vingi vipo vipo tuu kwa malengo fulani na vingine vimeisha jifungamanisha na makundi fulani ya kisiasa, mfano Lowassa hata afanye jema gani, kamwe hawezi kutokea kwenye ITV no matter what, huu ni uthibitisho wenye tv yao wameishajipanga wataside na nani na chama gani kuelekea 2015, hata vyama vingine kama vitapewa nafasi, ni kujibaraguza tuu ili watu wasishtukie dili.

Uchaguzi wa 2010 tuliona jinsi Tido alivyofanya kazi nzuri na TBC, na wengi mnajua kilichompata. Kwa kifupi, politics is a dirty game, lets start with a clean game tuone mchezo unachezekaje, vituo vipi vitakubali, halafu kidogo kidogo tuta test zali la politics tuki manage ku survive, then ndipo tunaingia jumla!.

Kuna thread yako fulani ya Dec. 1998 naitafuta nitakuuliza kitu.

Uzuri wako uwe unatumia ID ya Pasco au Pascal Mayalla lazima utajitahidi kumpa PROMO mzee, safi sana tuko pamoja sana.
 
Pascal Mayalla, I hope you do not take the critisism wrongly, use it to build yourself stonger. Learn from your mistakes and don't let anyone or anything get out of the great work you are intending to do. If you check the criticism most end by telling you to keep up so they are not meant for evil, what you are intending to do in my own perspective I can see your program growing very big and who knows you might be the pioneer in East African TV ownership. You can do all this if only you can deliver the truth.

Be blessed and keep up the good work.
 
Mzee Mwanakijiji, ni kweli siasa ndio kila kitu kwenye mustakabali wa nchi yetu na haikwepeki, nimekuwa mfuatiliaji wa talk show zetu, nyingi hazina kitu zaidi ya kujikomba komba tuu kwa watawala na pia nimezifanyia study hivi vituo vya TV na Redio, vingi vipo vipo tuu kwa malengo fulani na vingine vimeisha jifungamanisha na makundi fulani ya kisiasa, mfano Lowassa hata afanye jema gani, kamwe hawezi kutokea kwenye ITV no matter what, huu ni uthibitisho wenye tv yao wameishajipanga wataside na nani na chama gani kuelekea 2015, hata vyama vingine kama vitapewa nafasi, ni kujibaraguza tuu ili watu wasishtukie dili.

Uchaguzi wa 2010 tuliona jinsi Tido alivyofanya kazi nzuri na TBC, na wengi mnajua kilichompata. Kwa kifupi, politics is a dirty game, lets start with a clean game tuone mchezo unachezekaje, vituo vipi vitakubali, halafu kidogo kidogo tuta test zali la politics tuki manage ku survive, then ndipo tunaingia jumla!.

Kuna thread yako fulani ya Dec. 1998 naitafuta nitakuuliza kitu.
hakuna chombo cha habari kilicho huru(ni maoni yangu)
hapo kwenye bold ya pili im interested to see such an old thread!!!
 
Mkuu ningekuunga mkono kama ungekuja na maoni tofauti on how JF owners and members can expand and tap into the untapped population and romote areas, but not in the way you have proposed. Ni kweli kuna tatizo la link kati ya social media na traditional media. This is worldwide problem, na siyo Tanzania tuu. Follow me on Twitter or Like Us of Facebook is not a truly intergration of traditional media to social media. JF inaweza ika-showcase its content on the TV, but I am not 100% convinced that your proposed project is the best option.

Nafikiri tatizo kubwa, you came here with a proposal. You have already made up your mind on what you wanted to do. When you have already decided to do something and then come out to seek permision of doing it or ask someone to tell you how to do it, you are asking for a process that you can replicate. But that is just one process. Sure, it might have worked for others in the past and maybe it will work for you this time, but is it truly replicable? Will it work tomorrow or the day after that?

So, instead of coming here seeking permission or mawazo on what you have already decided to do about integrating JF with traditional media, may be you should have asked how to think about integrating JF with the old media. You need to ask for a framework, not a solution or permission.

If JF members give you a framework for thinking, they will empower you to think for yourself. If they give you a process to replicate, well, they will just make you reliant on them to give you a new process when the old one finally fails to be effective because of a number of reasons including uchakachuaji. Mind people are like bacteria, they will grow immune against the programme hasa kukiwa na uchakachuaji.

So, think careful. I am sure you wouldn't like the programme to die like Kitimoto.

Mkuu EMT,

You've sum up all.

Thumb up.
 
Huo utakuwa ni uoga wao tuu,
  • Hivi unaamini yule waziri handsome boy wa miaka ile ambaye alikuwa hapitwi na kila sketi iliyopita mbele, anafanana sana na yule mpangaji ile nyumba yetu pale magogoni?, mbaona sketi hata haziangalii?!.
  • Hivi unaamini kuna padri mmoja mkuu sana mpaka alifikia ngazi ya katibu wa baraza la maaskofu na alibakiza daraja moja tuu awe askofu, sasa hivi ni mwanasiasa mashuhuri sana ana ameanza kujenga familia na ndiye atakayepangishwa pale magogoni 2015?!.

  • Hivi unaamini DJ mmoja maarufu sana enzi hizo akipiga disco hotelini kwa baba yake, totos kwa kwenda mbele, sasa ni kiongozi wa chama kikubwa sana cha upinzani nchi fulani ambacho kinatarajiwa kukichoropoa chama kongwe kwenye utawala wa nchi fulani?.
Nasisitiza Mimi ndie Pascal Mayalla wa ukweli, huyo Pasco ni memba tuu wa jf, kama walivyo members wengine ambao ni vuvuli tuu, a copy, watu wamezidi kuogopa vivuli, mimi ndiye mwenyewe halisi, nimekuja na hoja ya msingi, tujadiulini hoja iliyo mbele yetu, tuipinge kwa hoja kwa hoja kama afanyavyo FJN na sio kuogopa kivuli cha Pasco wa jf nyuma ya Pascal Mayalla mwenyewe!.

@Pascal, kwenye red: Please don't take that route, it shakes the character of the author. ....rise above that!
 
FJM, hoja yako hii ni ya msingi sana, hata mimi nikiifikiria sana, kwa vile wengi wa members humu wanatumia pen names ili wasitambulike mathalan kwenye program yangu nikisema tusikilize maoni ya FJM, naweka maandishi ya quote yako ulichosema kuhusu mada fulani, then who will give a dam who FJM is?.

Ila pia ninaconcern uhuru wa watu kujinwaga ukawa jeopardized na knowledge kuwa wanaweza kuwa quoted.

Ndio maana nimeomba maoni yenu, kwa mfano mtu kama Mzee Mwanakijiji yeye tayari anatoa maoni yake kwenye magazeti mbalimbali hivyo sidhani kama atatatizwa na kuwa quoted as long as hautabadili kile alichokusudia.

Naomba maoni zaidi kwenye hili.
Inawezekana na nadhani kama itaratibiwa kwa umakini hata JF itabenefit a lot.Lakn sasa kuhusu quotes za watu na UHURU wa kujimwaga utadhibitiwa kama kutakuwepo na HIYARI ya mtu/mhusika mwenye wazo zuri.Umquote mtu ambaye yupo tayari kwa hiari yake na sio kuchagua tu post za watu humu JF.
 
Back
Top Bottom