Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Ninaombeni msaada wenu wataalamu wa simu zamikononi. Ninataka kujifunza jinsi ya ku unlock simu, kuflash na kurepair software za simu kwa kutumia software na tools mbali mbali. Ninahitaji mtu ambaye atajitokeza kunielekeza kunifundisha hili swala ikiwemo kunieleza tools and materials mbali mbali ambazo zinahitajika ili kuweza kujifunza na kufanya kazi hiyo. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika hili.