kupotea kwa frequency za tv arusha

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
wiki chache zilizopita mkoa wa arusha umekua na matatizo katika tv chanels,hasa kwa wale wanaotumia satellite dish zinazochukua kutoka intelsat 64 e,chanel za itv,ch10,na tbc zinapatikana kimanati.decorder ni urembo tu,watu hawaangalii tv za hapa nchini kwa muda.kuna anayefahamu frequency mpya kwa kupitia intelsat 64 e,au arabsat?plz link it hapa ,maana hata website zao zina update za zamani mno
 
huwa mara nyingi kama kuna mabadiliko ya frequency huwa wanarusha kwenye tv kwani hujaona kitu kama hicho au ni mitambo yao ndio inazingua..
 
wiki chache zilizopita mkoa wa arusha umekua na matatizo katika tv chanels,hasa kwa wale wanaotumia satellite dish zinazochukua kutoka intelsat 64 e,chanel za itv,ch10,na tbc zinapatikana kimanati.decorder ni urembo tu,watu hawaangalii tv za hapa nchini kwa muda.kuna anayefahamu frequency mpya kwa kupitia intelsat 64 e,au arabsat?plz link it hapa ,maana hata website zao zina update za zamani mno
Sisi huku hatupati kabisa tumeisahau itv, channel 10 na star
 
wiki chache zilizopita mkoa wa arusha umekua na matatizo katika tv chanels,hasa kwa wale wanaotumia satellite dish zinazochukua kutoka intelsat 64 e,chanel za itv,ch10,na tbc zinapatikana kimanati.decorder ni urembo tu,watu hawaangalii tv za hapa nchini kwa muda.kuna anayefahamu frequency mpya kwa kupitia intelsat 64 e,au arabsat?plz link it hapa ,maana hata website zao zina update za zamani mno

tatizo miundo mbinu yetu bado sana itafikia kipindi watu wa mikoani wata tazama habari za Tanzania kwa kupitia KTN ya kenya
kwavile KTN, KBC, NA Citizen TV zina patikana kwenye Dish la futi 6 kwa kutumia LNB ya KU hivyo basi tujiandae kuzitumi na hizi frequence za kenya unafunga tu LNB yako ya Ku kama vile unavyo shika south africa na kenya ina ingia
PATA FREQUENCY ZA KENYA HAPA PATA FREQUENCY ZA TANZANIA HAPA
 
zimesharudi zenyewe - ITV na ndugu zake na Channel10 baada ya kutoweka kwa muda na hadi kudhani wamekimbilia Startimes na ving'amuzi vingine kama walivyofanya AGAPE na king'muzi chao.
 
MIE NIPO MOROGORONINA MWEZIWA PILISASA SIONIitv,capital,chanel 5,star tv na hiyo chnel ten sikumbuki mara ya mwisho kuiona
 
CHANEL 10 NA STAR KWENYE FUTI6 ZINASUMBUA NAZAID YA MIEZ MI4 SIZION, hizo LNB za Ku band tunazifungaje, HAINAHAJA YAKUGEUZA DISH TENA AU UELEkEO NI HUUHUU?
 
nyie sijui mnaongea vitu gani nisivyo elewa mana hiyo ku c band nilitupa mda mrefu sasa natumia ku za kenya na nigeria
 
sasa hiv wanampango wa kubadlisha analog broadcasting system kwenda digital ndo maana kunakuwa na matatzo km hayo, hat hvyo k2 cha msing ni sis kuhama kutoka katka system hii na kuingia digital had kufikia mwaka 2015 wote 2we kwenye digital wapendwa! So hakuna haja ya kulalamika maana ni lazma tu kuondoka kwenye analog broadcasting system! ni hayo tu.
 
mkuu kwan mfumo wakutumia satelite dish na receiver ni mfumo wa digital au analog??

Hebu soma thread mara ya 2 na uelewe mleta mada analalamikia kitu gan??

 
sasa hiv wanampango wa kubadlisha analog broadcasting system kwenda digital ndo maana kunakuwa na matatzo km hayo, hat hvyo k2 cha msing ni sis kuhama kutoka katka system hii na kuingia digital had kufikia mwaka 2015 wote 2we kwenye digital wapendwa! So hakuna haja ya kulalamika maana ni lazma tu kuondoka kwenye analog broadcasting system! ni hayo tu.

kwani madish si yabroadcast kwa kutumia digital mkuu??
 
tatizo miundo mbinu yetu bado sana itafikia kipindi watu wa mikoani wata tazama habari za Tanzania kwa kupitia KTN ya kenya
kwavile KTN, KBC, NA Citizen TV zina patikana kwenye Dish la futi 6 kwa kutumia LNB ya KU hivyo basi tujiandae kuzitumi na hizi frequence za kenya unafunga tu LNB yako ya Ku kama vile unavyo shika south africa na kenya ina ingia
PATA FREQUENCY ZA KENYA HAPA PATA FREQUENCY ZA TANZANIA HAPA

Unapata SABC na Citizen kwenye Ku? Tafadhali tupatie mpango mzima. Je mwelekeo wa dish ni huu tunaopatia local chnls? Nipo Dar na sipati star tv kabisa. Mara chache inaingia na kutoka lakini kwa sasa haipo tena kabisa. Lete mpango mzima hapa kama kitaeleweka. C band ya Al jazeera ipo full signal.
 
Tupeni maujanja yakupata ma Channel yaukweli (zisiwe za dini) maana nimefunga KU matundu ya juu ya ile c band nimepata za dini zaid ya 40. Na chache za kawaida, pia nimefunga KU nyngne matundu ya chini nimepata 5 za kenya3 na UG1 na startv.
now nataka zingine nzuri nifunge LNB gani na matundu ya upande upi?
 
Back
Top Bottom