Nini madhara ya karanga na korosho kwenye miili yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini madhara ya karanga na korosho kwenye miili yetu?

Discussion in 'JF Doctor' started by JATELO1, Dec 12, 2011.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Wanajf;
  naomba mnisaidie kwa wale wanaofahamu nini madhara ya kula/kutumia sana karanga na korosho? Kwani nimekuwa natumia karanga au korosho zilizokaangwa kila siku. Sasa naomba kwa wale wenye ufahamu; je ni nini madhara ya karanga na korosho kwenye miili yetu?
  Nawakilisha.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Korosho zina cholestral nyingi leading to hear disease. Bora utumie almond/lozi not roastef
   
 3. F

  Fofader JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Karanga ambazo hazikukaushwa vizuri baada ya kuvunwa zinakuwa attractive kwa fungi ambao baadaye huzalisha aflatoxin ambayo husababisha saratani ya ini. Heri korosho kuliko karanga.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  mkuu una uhakika na hiki ulichokiandika?
   
 5. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  Wa wapi wewe?korosho inakata cholestrol,ndio maana vibonge/vitambi huperform wanapozitumia
   
 6. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duu mkuu hapo kwenye karanga hunifikii mim huwa nakula daily kitambo nilikuwa asubuh nakunywa chai na karanga mbich robo na usiku nakula robo na juice sema nilikuwa nafanya sana zoezi.
   
 7. J

  Johnson2012 Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama karanga na korosho noma mbona huko wanakozilima wasife? Watoto wanakula mpaka leo wamekuwa madingi na ma maza nabado afya Pouwa!
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  jamani jaribuni kutoa majibu ya uhakika kwasababu ukijibu vibaya watu tunatumia huu ushauri wenu
   
 9. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hapa tunahitaji wataalam!!
   
 10. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hii logic ni ya hovyo sana! na wabongo wengi wanaitumia sana kuhalalisha vitu vyenye madhara! eti watu wamekula kwa muda mrefu ndio sababu ya kuendelea kutumia! kwanza bongo matumizi ya vitu vingi yanatudhuru bila kujua! kijijini kwa mfano watu wanakufa na magonjwa ya ajabu bila kujua chanzo coz hakuna wataalamu! mimi ningeshauri forum hii tujitahidi iwezekanavyo kuachia wataalam na wengi tutafaidika! mfano mwingine maeneo ya mjini kina mama wamepata biashara ya miogo mibichi wateja wanaamini kabisa kua inaongeza nguvu za kiume na manii!! but kumbe ina madhara makubwa!
   
 11. L

  LA TOVI Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hebu tudokeze kidogo hapo kwenye MIHOGO kwan sie wengi tunaitafuna sana bila kujua mathara yake.

  Hii ndo raha ya jf bana
   
 12. Kind

  Kind JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2013
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 247
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama ilivyokuwa kwa korosho, karanga nazo ni chanzo kizuri cha mafuta mazuri aina ya ‘monounsaturated fats' ambayo yanatiliwa mkazo kutumiwa kwa afya ya moyo. Kwa mujibu wa utafiti, watu wanaokula karanga mara kwa mara hupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo (cardiovascular heart disease) kwa asilimia 21.

  Aidha, katika taarifa iliyochapishwa kwenye jarida moja la Uingereza la ‘Journal of Nutrition' ambako kuna matokeo ya taarifa nne za utafiti, imeonesha pia watu wanaotumia karanga mara kwa mara, angalau mara nne kwa wiki, hujipa kinga nyingine dhidi ya ugonjwa wa moyo (coronary heart disease) kwa zaidi ya asilimia 37.
  source MRISHO'S BLOG: Zijue faida za ajabu za karanga!
   
 13. Mbrazili

  Mbrazili JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2013
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 652
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mihogo mibichi madhara yake nini??
   
 14. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  kila kitu kina madhara sijui itakuaje.
   
 15. S

  SukariTamu JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 299
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh!..mpaka mihogo mibichi!!..tumekwisha
   
 16. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2013
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mihogo ina athari gani?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mihogo ikutegemeana na mahali ilipolimwa inaweza kuwa na sumu cyanide. Hii dio sababu haswa wachaga hawali mihogo kwani ule udongo wa kwao wenye volcanic nature una cyanide nyingi. Haswa mihogo mibivhi ni hatari zaidi.
   
 18. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2013
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Owkey bandugu
   
 19. Mbrazili

  Mbrazili JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2013
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 652
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nashukuru
   
 20. a

  alphoncenyahena Member

  #20
  Nov 29, 2017
  Joined: Mar 8, 2017
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kila kitu kina faida zake mwlini vyakula na mbegu. Pamoja na matunda hivyo watu wengi wanakula mpaka wasikie vinaongeza nguvu za kiume mm nakula tu siangalii kam vinaongeza au hapn muhimu kuupa mwili vitu asili nipate nguvu
   
Loading...