viwanda vya kutengeneza meli huwa vinajengwa fukweni au kwenye bandari maalumu(floating habour) au bandari inayoelea.hii hurahisisha movement ya meli kwenda kuanza kazi pale inapokamilika
mijinga mingine bana.mzazi anaefanya kazi huko watoto wake wataishi vipi? binadamu anaefurahia mwenzake anapopata tabu ni sawa na mchawi. we unadhani manji ni wa kulala njaa.mwenzio hata asipofanya kazi hadi anakufa anaweza kuishi maisha ya starehe mno.watakaopata tabu ni ndugu zetu wanaofanya...
mtoa mada uko sahihi sana. zooote ulizotaja hakuna nyimbo hapo. ukijumlisha na za dully sykes za hapa karibuni. jumlisha marry you ya dimondi. hovyo kabisaaaa
daaaah asee. niliskia hii stori bana. eti mtoto wa mwanajeshi alipanda daladala bila ya kuwa na nauli. konda akashikilia begi lake la shule mpaka akalete nauli.mtoto kaenda kusemelea kwa baba. baba akatuma vijana wake wakamtafute huyo kondakta. konda akapatikana wakampeleka huko...
mwambie huyo kazini wako eti, hata Mengi ni mfupi ila Klyn ndo kafika. swali langu ni kwamba huyo kazin wako ni mzuri kuliko Klyn? kama sio basi she should consider her thinking
kwenye swala la kutafuta mwenza wa maisha ufupi wala sio facta. it seems huyo kazin wako hajakua, ana akili za ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.