Noah old Model ni gari nzuri sana na ina nafasi nzuri, kwa watu watano mtasafiri vizuri sanaKwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
Na kodi aumkuu nunua suzuki vitara popote unaenda na Utastaafu nayo.Ukiagiza ni Milioni 12
Toyota ALPHARD
Haya magari nayo yashafika huku, niliyaona Taliban pekee, maana yanatengezezwa kazakstan tu.nazan wish itakufaa kama huko uendako sio maporin,mafuta inakunywa kidogo
unapotaka gar ya familia njia nyepesi ni kujua yafuatayo
1. Bajeti yako ya hilo gari
2. Uwezo wako wa kumudu gharama za mafuta
3. Idadi ya watu kwenye familia
4. Gar ambayo ni chaguo lako kabla hujashauriwa
5. Eneo na accesibilty ya njia ya kufika nyumbani kwako
hapa umeshalipa na kodiNa kodi au
kweli kabisa mkuu hii mashine ni balaa. bei mil 19View attachment 463229 View attachment 463230 View attachment 463229 View attachment 463230 View attachment 463231
toyota ipsum huwa naikubali. sijui ulaji mafuta, vipuri na uhimilivu barabara za vumbi/korofi. inabeba watu 6+dereva. hii naamini itakufaaTafuta toyota wish, ipsum, isis.