mkuu piga picha bas utupie kidogo niwaone mnavopendeza sk hizi coz mm niko mbl kidogo na dar sijawaona huko kariakoo!!Tutazidi kuzivaa tu...
mkuu piga picha bas utupie kidogo niwaone mnavopendeza sk hizi coz mm niko mbl kidogo na dar sijawaona huko kariakoo!!Tutazidi kuzivaa tu...
Wenzao waliovaa hivyo miaka 3 iliyopita sasa hivi wako barabarani hapo-hapo mitaa ya posta, wako na bahasha zao za kaki mkononi ukiwatajia jina la Kairuki wanaweza wakutafune.
tofauti ya msomi na ambae hajasoma utajua tuu,mimi sijatumia maneno mengi na nimetumia busara kukuonesha kuwa am educated,lakini wewe umeingiza na matusi.huwa sipendi kubishana na watu wasiojitambua kama wewe...sema maana ya collage.ona huyu zumbukuku wa udsm.
eti collage??
do you even know what collage
would please spare me the shit and get back to school..... fuuuuuuuulllllllllll.
eh bwana eh,Mwingine anasoma bachelor of of arts in drinking water ,kisa yupo udsm anajikutaaaa .Anamdharau dogo anaesoma medical lab Kairuki
naanzaje kubishana nawewe sasa kama hivo kitu kidogo tuu hufahamu afu unajikuta unajua.ona huyu zumbukuku wa udsm.
eti collage??
do you even know what collage
would please spare me the shit and get back to school..... fuuuuuuuulllllllllll.
Me basi tuu kiswaili fasaa sikikubali ndo maana nahandika hivi....... Nina ugomvi na faizafoxyLaia=[raia]
Sasa niambie ni typing error au hujui tofauti ya R na L?
Hv jkt wanaluusu kutembelea kwenda kusalimia???? Maana nimemisi kichiz yale masuala haiseeeNajivunia shule Yangu JKT na juz nilienda kuitembelea since 2005 form four kama mupo muliomaliza Mwaka huo nawapa salam![]()
nieleweshe mi zumbukuku maana ya collage,mbona unakaa kimya wakati upo online??ona huyu zumbukuku wa udsm.
eti collage??
do you even know what collage is?
😀 😀
collage?????? 😀
halafu eti unasahihisha kwa madaha kabisa.
would please spare me the shit and get back to school..... fuuuuuuuulllllllllll.
Unaweza lugha gani?Me basi tuu kiswaili fasaa sikikubali ndo maana nahandika hivi....... Nina ugomvi na faizafoxy
Luga za kibiashala achana hii ya kibongo ambayo hata nikihijuha kwa ufasaa hainipeleki popoteUnaweza lugha gani?
Ndio Ruhusa wala hakuna tabuHv jkt wanaluusu kutembelea kwenda kusalimia???? Maana nimemisi kichiz yale masuala haiseee
badili hicho ulichoandika kwa kingerezaLuga za kibiashala achana hii ya kibongo ambayo hata nikihijuha kwa ufasaa hainipeleki popote
Collage=collegethe worst thing ni kwamba, they have no any credible impact after three good years in the collage.
kwa mfano, bachelor in Kiswahili 🙄 🙄
its impact is actually likely to deem up to -0.0%.
utamkuta huyo kagangamara kama kisiki, udsm! udsm! udsm!
😀 😀
??........ Inaonekana unapenda umbea sanaUmeandika nini? We mwanazuoni wa UDSMUmenena vema mkuu, mwenyew nipo Udsm but nikiwa first year sikuwa hivo but kuna watu ukiwambia wanaona ka unawakosea HAKI zao