KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
Mabadiriko yanatokea kutokana na hitaji lako mfano unahitaji call recorder utaipata ukiwa rooted
Bango
Hata bila ya ku-root hiyo app unaweza kuipata na inafanya kazi bila wasi.
Mabadiriko yanatokea kutokana na hitaji lako mfano unahitaji call recorder utaipata ukiwa rooted
Bango
Aisee ziko poa sanaHizi hutojuta
English to Swahili
Swahili to English
English Swahili Dictionary - Android Apps on Google Play
Hii English to English
English Dictionary - Offline - Android Apps on Google Play
Kwa lugha mbali mbali
Google Translate - Android Apps on Google Play
Jaribu hii mkuu ila kuwa makini husifute zitakazo athiri utendaji wa simu yakoSawa nahitaji sana ile kufuta system app ambazo zinamaliza nafasi maana simu ina gb 16 system inatumia 10gb
Jaribu hii mkuu ila kuwa makini husifute zitakazo athiri utendaji wa simu yako
System app remover (ROOT) - Android Apps on Google Play[/QUOTE
Mkuu screen locker za finger print J8 haina hiyo feature, hivyo hata ukiipata haitakuwa real. Mtu yeyote tu ataweza kufungua simu yako. Hiyo feature ilikuwa kwenye phantom 5.Mkuu msaada screen locker ya finger print
Bango
Mkuu kuwa makini sababu une root simu lkn hujajua why umefanya hivyo.Habarini wakuu nimefanikiwa kuroot j8 sasa nauliza apps gani niweke niione simu yangu tofauti? maana now naona ipo vile vile tu
Zingatia ushauri wangu usifute chochote ktk hiyo simu yako hadi uinstall Twrp na ufanye backup ya rom yako (Inahitaji naelekezo) kisha itunze kwenye memory flash ama pc.Sawa nahitaji sana ile kufuta system app ambazo zinamaliza nafasi maana simu ina gb 16 system inatumia 10gb
Nice![]()
![]()
Hii app inaitwa show box.... Naipenda kinyama..
Na download movies and series & music,, zikiwa kwenye HD saafi..
Hii App haipo Playstore..
U can download hapa
[https://showboxapp.org/showbox_4.27.apk]
Ipo game ya rally ila haipo playstore inaitwa Collin McRae Rally napenda sana hii game. Graphics zake zipo njema sanaGame gani ya racing iko poa ya simu.... pikipiki au magari
Sry ku root kuna faida gan kwan
Nimejaribu kuinstall hyo twrp naona inaleta chenga chenga tu, nimecheki pia youtube still sijagain kitu hasa hasa kwa kuipata hyo twrp alafu nimeweka adaway inakataa kuendelea inadai hviZingatia ushauri wangu usifute chochote ktk hiyo simu yako hadi uinstall Twrp na ufanye backup ya rom yako (Inahitaji naelekezo) kisha itunze kwenye memory flash ama pc.
Hapo sasa waweza futa app au kuweka customer roms nk uki haribu simu huna haja ya kwenda kuflash nali ina restore tu rom yako.
Mkuu screen locker za finger print J8 haina hiyo feature, hivyo hata ukiipata haitakuwa real. Mtu yeyote tu ataweza kufungua simu yako. Hiyo feature ilikuwa kwenye phantom 5.
Nicekama hamjafanikiwa tumieni link hii hapa unaweza tumia hata whatsapp nne kwa simu moja
http://www.abo2sadam.com/WhatsApp/DownloadFile/WA2.Abo2Sadam-V4.57-OldFace.html
![]()
Umeiona simu yako sidhani kama KINGROOT ITAkubali labda jaribu app nyingine
Kama FRAMAROOT
Nicekwa wapenda soccer hii app inafunika app zote na haina matangazo. pata updates za soccer hapa
Download Soccer Scores Pro Fot Mob v36 836 (Paid Version) apk
BMkuu nimejaribu kutaka ku install imeniletea vitu vya ajabu kweli