Supermarket mpya yafunguliwa Mjini Tanga

Vodosky

Senior Member
Apr 6, 2016
155
134
Haya wale nduguzangu wa tanga...

Kuanzia jana mjini Tanga kuna supermarket mpya imefunguliwa inaitwa Mkwabi.

NASACO Building, Independence Avenue

M excited sababu bwana mambo ya kwetu maduka yafunguliwa late na kufungwa early but now atleast ukiwa tanga una uhakika wakupata huduma ya vyakula mpaka saa 4 hadi 6 usiku!

Big up!

104d6ec1681506b1faa5311f9f6dcfb4.jpg
 
hilo ni jambo zuri sana kwasababu jiji la Tanga limekuwa halina supermarket kubwa, nzuri na ya kisasa. bila shaka hiyo supermarket inakwenda kuleta mabadiliko.
 
natumai hivyo.... inabidi kutangaza wenyeji waone hamna tofauti sana maana niliona vijana wanaogopa kuingia wakidhani bei ni kubwa....mmoja akajitolea kujaribu baada kuambiwa hakuna tofauti...kweli akakuta maji ya chupa sawa na dukani kwengine...
 
panaitwa nasako. pametazamana na jengo la bandari
Hapajatazamana iko pembeni yaani ubavuni

Hivi Tanga mpaka leo walikuwa wanategemea supermarket ipi sasa?
Zamzam?

Hapo kwa hlo jengo kulikuwa na bar moja inaitwa meridian sijui iliishia wapi miaka ileeeee
 
Haya wale nduguzangu wa tanga...

Kuanzia jana mjini Tanga kuna supermarket mpya imefunguliwa inaitwa Mkwabi.

NASACO Building, Independence Avenue

M excited sababu bwana mambo ya kwetu maduka yafunguliwa late na kufungwa early but now atleast ukiwa tanga una uhakika wakupata huduma ya vyakula mpaka saa 4 hadi 6 usiku!

Big up!

104d6ec1681506b1faa5311f9f6dcfb4.jpg
Big Up Swedy Hamisi Fikirini Mkwabi kwa hii milestone. Mungu akusimamie ufanye zaidi
 
Hapajatazamana iko pembeni yaani ubavuni

Hivi Tanga mpaka leo walikuwa wanategemea supermarket ipi sasa?
Zamzam?

Hapo kwa hlo jengo kulikuwa na bar moja inaitwa meridian sijui iliishia wapi miaka ileeeee
kila kinachoanzishwa mara nyingi hakidumu sijui ni kwanini. maduka ni yale yale na biashara ni zile zile. yani mpaka biashara yako izoeleke inachukua muda sana
 
Aaah kumbe ni lile jengo la meridian wamefanya vizur
 
kila kinachoanzishwa mara nyingi hakidumu sijui ni kwanini. maduka ni yale yale na biashara ni zile zile. yani mpaka biashara yako izoeleke inachukua muda sana
Tatizo Tanga Mzunguko wa fedha upo chini sana. Chukua eneo moja la Usariver Arusha linaweza kuwa na vitu vya maana zaidi ya Tanga city na n kiwilaya tu.
 
Back
Top Bottom