Mwalimu Hema
Member
- Dec 5, 2015
- 88
- 67
Najiuliza kila siku kiwanda cha meli kikoje? Kiko karibu na bahari au vipi? Na kama sio? Meli huwa inapelekwaje baharini kuanza majukumu ndugu zangu, maana nimejiuliza muda mrefu nakosa majibu.
Naomba msaada wenu wadau.
Naomba msaada wenu wadau.