Recent content by Debe Tupu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

    Acha kuchonganisha watu. Usimba na uyanga umekujaje kwa kukutwa na vitambaa vya sare za jeshi. Acha Sheria ichukue mkondo wake.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA ama hawaoni kuwa Mbowe ni Mfalme ndani ya chama chao?

    Mimi nasema ikiwezekana katiba tuibadili ili Ngosha aendelee.over
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naiona TAKUKURU yenye kasi na viwango!

    Hivi mahakama ya mafisadi Iko kisutu au maana hao nao nasikia wamepelekwa kisutu kabla ya kupelekwa kwenye mahakama ya mafisadi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni wakuu!!

    yangu macho
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo na madongo haya kutoka kwa wanasiasa wetu

    Nitasubiri Noah yangu mpaka dakika ya mwisho
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vitabu gani vizuri kwa PCM?

    weka na vya chemistry
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi naamini Zitto Kabwe ni raia wa Burundi

    Wanasiasa waliowengi hufikiri wana akili Sana kuliko watu wengine (wananchi). Kumbe ndio pekee wanaojua Kusoma na kuandika. Na pia si wazalendo kabisa ni wa ajabu Sana.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ko-post picha mitandaoni!

    Inategemea na picha yenyewe Kama maadili yana ruhusu Just do it lakini Kama ni ya ovyo kwanza utakuwa mtu wa ajabu ,limbukeni n.k
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mkataba wa mafuta wa Ghaddaffi vs madini ya Mkapa na Magufuli

    Magufuli Kama Gaddafi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msimamo was vyama pinzani ni sawa na kukuwadia ubepari uchwara!

    Mwl Nyerere aliwahi kusema ktk vita ya kiuchumi watatokea baadhhi ya watz wenzetu watakao watetea mabepari na hawa ni wasaliti wakubwa Sana. Watz tunaoipenda nchi yetu tuna wajibu wa kuwapuuza hao mabepari.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii kozi mpya ya petroleum &Gas engineering !

    Electrical ndo mpango mzima mkuu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi za kilimo.

    Kilimo kwanza
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mabinti mnaodate na wazee mko timamu kweli!?

    Waache waoane
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina shule ngapi za kidato cha tano na sita?

    Naomba kuuliza Tz ina shule za serikali zenye kidato cha tano na sita ngapi? Maana kwenye kumbukumbu zangu kwa waliochaguliwa advance 2013 na 2014 walikuwa chini ya 53,000 na 55,000.Hapo wenzao wakabaki zaidi 21,000 kwa miaka hizo miwili.Naona mwaka huu 93,000 wamechaguliwa kidato cha tano...
Back
Top Bottom