Tucheke kidogo na madongo haya kutoka kwa wanasiasa wetu

mwamba c

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
690
2,361
Wakuu tukumbushiane kidogo hapa kauli za wanasiasa wetu zilizowahi kubamba,kama unayo nyingine tupia hapa tucheke kidogo tupunguze stress za kulisukuma gurudum hili zito la maendeleo,hz ni za kitambo kidogo kama una mpya tupia
1.kuleni nyasi,ndege ya rais lazima
inunuliwe(MRAMBA)
2.foleni dar ni ishara ya maisha bora(dr Jk)
3.acheni wivu wa kike(MSEKWA)
4.asiyeweza kulipa nauli apige mbizi(MAGUFULI)
5.baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo urambo"mlitaka nipande punda"?(KAPUYA)
6.ukitaka kula lazima uliwe kidogo(Jk) 7.mnaniuliza mvua kwani mimi waziri wa mvua(WASIRA)
8.wanafunzi wanaopewa mimba ni viherehere vyao.(Jk)
 
Ninayaona madili yenye pesa kama Nyoka mwenye makengeza - (Nyoka mwenye makengeza)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom