Naomba kuuliza Tz ina shule za serikali zenye kidato cha tano na sita ngapi? Maana kwenye kumbukumbu zangu kwa waliochaguliwa
advance 2013 na 2014 walikuwa chini ya 53,000 na
55,000.Hapo wenzao wakabaki zaidi 21,000 kwa miaka hizo miwili.Naona mwaka huu 93,000 wamechaguliwa kidato cha tano. swali je kwa sasa shule hizo zipo za kutosha kukabiliana na changamoto hiyo?