masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Pamoja na matatizo ya mikataba mibovu kuwahusisha viongizi wa awamu zilizopita, hasa ile ya Mkapa na Kikwete, hata hivyo msimamo wa vyama pinzani unatia shaka.
Ni vyema tumejua sasa kosa la kuelekea uhaini, kwa viongozi waliopita kusaini mikataba kwa maslahi yao binafsi.
Hili sakata la mikataba yenye utata lichukuliwe hatua, kwa msimamo huo, UHAINI.
Kinachotia shaka kubwa niuinzi kushabikia hawa mabepari uchwara kwa nia tu ya ati "kuikomoa " CCM.
Wakati wa vita kama hii ya uchumi, mtu kushabikia adui ichuliwe kama uhaini.
Tusilichekee hili, htu zichukuliwe mapema.