mtandao wa vodacom wakata mawasiliano wilaya ya ukerewe kwa zaidi ya masaa sita

NIKIMU

Senior Member
Jan 25, 2015
182
96
Ni Muda sasa mtandao wa simu wa vodacom Tanzania hauko hewani kwa maeneo ya kisiwa cha ukerewe.
 
wameharibu mambo yangu..
nakuja na meli ya jion kwa mbwembwe then na_conekti internet hakuna, wala mawasiliano ya kawaida.
kesho mbio wamenikosea
 
Back
Top Bottom