Msaada kuhusu hii kozi mpya ya petroleum &Gas engineering !

Kumbo El Capitanol

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
286
235
Tukiwa bado hatujaanza kutupa

karata zetu kwenye mambo ya

udahili 2017/2018 nilikuwa

naomba msaada juu ya hii koz

Ya oil/petroleum & gas ambayo

haina miaka mingi Hapa tanzania

Ktk vyuo vyetu so Kwa mwenye

kujua zaidi kuhusu hii kozi ya

engineering especially Kwenye

Upatikanaji wa ajira both Internal and external.

Coz kumekuwa na habari tofauti za

kusikia kwamba hii ni moja ya kozi

ya engineering ambayo inafuture

Nzuri hapo badae pia wapo

Wanaosema hii ni koz ambayo hina
Ufinyu wa ajira yaani ajira zake ni

probability kupata kutokana na

maeneo machache kwenye hii field

na imebase kwenye Kuajiriwa kuliko kujiajiri.!!!!!

Pls naombeni msaada ndugu zangu !!!!!
 
Daaah usinikumbushe machungu....nliacha advance nkaenda kusoma petroleum geoscience, matokeo yake hata field ikawa ni shida, tatizo kubwa hapa kuna kozi kwa tz bado sana ila zilianzishwa kwa haraka na mihemko ya siasa....nipo kitaa huwezi fanya sehemu yoyote hasa kwenye migodi, kupata nafasi kule mtwara napo ni shida, ushauri wangu fanya maamuzi sahihi and the end ukiweza soma mineral processing eng. Au mining ajira zipo nying tu.
 
Soko la petroleum kwa TZ bado sana labda kama mvumilivu sana mpaka wabunge watunge masheria ya kuchimba...

Nje sijuw maana Petroleum ni govt based sana
 
Daaah usinikumbushe machungu....nliacha advance nkaenda kusoma petroleum geoscience, matokeo yake hata field ikawa ni shida, tatizo kubwa hapa kuna kozi kwa tz bado sana ila zilianzishwa kwa haraka na mihemko ya siasa....nipo kitaa huwezi fanya sehemu yoyote hasa kwenye migodi, kupata nafasi kule mtwara napo ni shida, ushauri wangu fanya maamuzi sahihi and the end ukiweza soma mineral processing eng. Au mining ajira zipo nying tu.
Asante Mkuu.
 
Degree yake inatolewa chuo gani hapa bongo mkuu na utofauti wake ni upi na oil &gas engineering kwenye uhaba wa ajira.
 
Tukiwa bado hatujaanza kutupa

karata zetu kwenye mambo ya

udahili 2017/2018 nilikuwa

naomba msaada juu ya hii koz

Ya oil/petroleum & gas ambayo

haina miaka mingi Hapa tanzania

Ktk vyuo vyetu so Kwa mwenye

kujua zaidi kuhusu hii kozi ya

engineering especially Kwenye

Upatikanaji wa ajira both Internal and external.

Coz kumekuwa na habari tofauti za

kusikia kwamba hii ni moja ya kozi

ya engineering ambayo inafuture

Nzuri hapo badae pia wapo

Wanaosema hii ni koz ambayo hina
Ufinyu wa ajira yaani ajira zake ni

probability kupata kutokana na

maeneo machache kwenye hii field

na imebase kwenye Kuajiriwa kuliko kujiajiri.!!!!!

Pls naombeni msaada ndugu zangu !!!!!
SOMA CIVIL ENG...
 
Kwann Mkuu!
Uwanja wa petrol na gas ni narrowed kwenye ajira ...na haina selfemployment huwez kufny chochot kitaa

Kama unataka kuvimbia mademu na kutambia kitaa na 100% ya bum lako sawa ila kama unataka kuwa mkwanja piga hizo
Chemical
Civil
Electeical
Mechanical
Industrial etc
Petrol yale ni magumashi tu.

T.O wa mwka jana alihama petrol yuko Electrical eng.

Kama unaweza kunote note!
 
Noted Mkuu!!!!
 
Viva Umeme
 
Dogo utakuja kujuta!! Kwanza hii petrol unadhan ni ya tanzania au mabeberu wa ulaya?? Wawaache watu wao waje kukupa wewe kazi??? Nenda kasome electrical...civil...mechanical...chemical au hata architecture basi!!

Hayo mapetrol kama baba sio waziri au kigogo wa serikalin itakula kwako!!
 
Back
Top Bottom