Kwa kauli hizi naamini Zitto Kabwe ni raia wa Burundi

MASALAKU

Member
May 28, 2014
56
125
upload_2017-6-16_13-36-29.png

Upumbavu wa wanasiasa wengi ni kufikiri kwamba wao ndo wanaakili na kujua mambo kuliko viongozi walio madarakani. Na mmoja wa hao ni huyu zero brain Zitto Kabwe

Nchi yenye wasomi sampuli ya mhe Zitto, nchi yangu Tanzania. Ni másikitiko makubwa pale wasomi hawa wanaojitanabaisha kwamba wana maarifa 'kamili' yaani yasiyo 'nusu'
wamekuwa siku zote wakikosoa na kulalama pale maslahi ya nchi yanapoporwa na baadae wenye maarifa'nusu' wakiamua kufanya jambo, wenye maarifa'kamili' kama ilivyo kawaida yao, huja na malalamiko mengine.

By the way Mimi nashangazwa sana na sampuli hii ya wasomi! . Kama nia yao ni njema, nadhani wangeonesha ushirikiano kama Rais Magufuli alivyoonesha njia. . Kulalama tu hakusaidii unless hiyo ndo definition ya upinzani.
 
Attachments

  • ZITTO.PNG
    File size
    21.4 KB
    Views
    49

Debe Tupu

Member
Apr 20, 2017
34
95
Wanasiasa waliowengi hufikiri wana akili
Sana kuliko watu wengine (wananchi). Kumbe ndio pekee wanaojua Kusoma na kuandika.
Na pia si wazalendo kabisa ni wa ajabu Sana.
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
3,784
2,000
Si huyu huyu aliyeibua huu mjadala bungeni 2007 au ni mwingine?
Kuna nongwa gani hoja yake kufanziwa kazi sasa?
Au amekwisha sahau?
Badala ya kuwakatisha tamaa wataalamu wetu na Mh.Rais JPM,ni vyema akashauri the way forward.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,280
2,000
Zitto alisomea nini na alipata nini pale UDSM?
Enzi zetu huyu ngwini angehema chuo...!
 
Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,872
2,000
Anasumbuka sana huyo fala, amekuwa kama Branagh Misosi intolerance vipi, alijidai kulivuruga mwenyewe CDM na akaendelea kusikika wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015. Baada ya hapo alipotea kama boya Fulani hivi, isipokuwa maamuzi magumu anayofanya Magufuli ndiyo Hana Fanta naye ajulikane kuwa yupo, Mara Leo ataunga mkono hiki halafu Kesha anaunga mkono kile. Keshakuwa garbage no way out.
 
kauga JR

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
3,512
2,000
Zitto amekosa maalifa ya kuhakikisha mawazo yake yanafika sehemh husika kwa muda husika
 
SADOCK NJIGINYA

Verified Member
Mar 26, 2013
1,176
2,000
Tatizo kwenye hii issue ya mchanaga kila mwanasiasa anataka aonekane yeye ndiye mwasisi wa vita hii ndio maana wengi wao mpaka sasa tumeshindwa kuelewa rangi yao halisi ya ktk vita hii .....Piga kazi Rais wetu kwa hili usirudi nyuma
 
nyamnini

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
2,741
2,000
View attachment 524969
Upumbavu wa wanasiasa wengi ni kufikiri kwamba wao ndo wanaakili na kujua mambo kuliko viongozi walio madarakani. Na mmoja wa hao ni huyu zero brain Zitto Kabwe

Nchi yenye wasomi sampuli ya mhe Zitto, nchi yangu Tanzania. Ni másikitiko makubwa pale wasomi hawa wanaojitanabaisha kwamba wana maarifa 'kamili' yaani yasiyo 'nusu'
wamekuwa siku zote wakikosoa na kulalama pale maslahi ya nchi yanapoporwa na baadae wenye maarifa'nusu' wakiamua kufanya jambo, wenye maarifa'kamili' kama ilivyo kawaida yao, huja na malalamiko mengine.

By the way Mimi nashangazwa sana na sampuli hii ya wasomi! . Kama nia yao ni njema, nadhani wangeonesha ushirikiano kama Rais Magufuli alivyoonesha njia. . Kulalama tu hakusaidii unless hiyo ndo definition ya upinzani.
ubaguzi ni kama kula nyama ya mutu huwezi kuacha,
sidhani kama kuwa na mawazo tofauti na zito ndiyo sababu ya kumnyanganya uraia wake,
ukiendekeza tabia hiyo siku ukitofautiana hata na ndugu yako utamnyang'anya uraia pia.

hii ni mbegu mbaya sana unayoipanda ikiota hakuna atakayebaki salama.
na ni uchochezi tosha.

ungeweza kupingana na Zito bila kumubusisha na uraia wa nje.
huku ukiwa huna ushahidi.

chukua tahadhari Tanzania ni yetu sote.
 
kauga JR

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
3,512
2,000
Huwezi ongea utumbo halafu ukasema ww ni msomi, au kama ndi definition sahihi ya upinzani hapo mm sina hoja
 
flayboy

Senior Member
Apr 8, 2017
177
225
Cku zote vyama pinzan haviwez kuunga mkoni chama tawala na haiwezi kutokea na wasipo fanya hivyo kutakua hakuna maana ya kuepo upinzani
 
Oct 31, 2016
20
45
Hata kama upinzani ni kupinga Lakini kuna muda na wao waone kile wanachikipinga mm najiuliza wao wanasema kuwa JPM kachukuwa Sera yao sasa kwa nn tena wanaipinga hiyo Sera yao mmh napata na mashaka na upinzani wao
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,419
2,000
Lakini...kama ni dhahiri kuwa Zito ndo kayaandika hayo maneno, si KEJELI na MATUSI makubwa tu kwa MKUU na nchi kwa ujumla???

Kauli hizi si mara ya pili au tatu zinatokea kwake, ni vipi kauli hii angeitoa yeyote kutoka UPANDE ule?????

Ndo kusema Z ni....................!!!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom