Vitabu gani vizuri kwa PCM?

mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,565
6,406
Heshima kwenu wanajukwaa!
Kuna binamu yangu amepangiwa mchepuo wa PCM shule ya Tosamaganga, sasa shida yake iliyonifanya kuleta uzi anaomba kujua vitabu gani vya kununua kabla hajaenda shule kulingana na mchepuo wake.

1.physics( 5 na 6)
2.chemistry(5 na 6)
3.p/maths(5 na 6).

Si mbaya hata nikipata vya form five kwa kipindi hiki maana ndo anaenda kuanza.
 
Physics:
Principles of Physics for class XI (S.Chand)


Advanced Level Physics (Nelkon and Parker)


Chemistry:

Chemistry by Raymond
Chang


Conceptual Chemistry S.ChandNB:Kwa ujumla hawa Chand wana vitabu vingi vizuri sana viko detailed mtu aweza kujisomea mwenyewe bila mwalimu sema ni vizuri kuzingatia syllabus
 
Hizi nadhani ni latest editions
Screenshot_2017-06-17-11-13-55.png
Screenshot_2017-06-17-11-14-11.png
Screenshot_2017-06-17-11-33-39.png
 
Back
Top Bottom