Kitchetche
Member
- Apr 2, 2017
- 71
- 77
Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.