Recent content by dareda

 1. dareda

  MWAFAAA: Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji chalia ukata, mshahara wa Januari wapigwa danadana

  Naona hz barua/memo zinashika kasi kweli, sasa kitu kimeandikwa Internal Memo sijui JF kinatafuta nn......
 2. dareda

  Waraka maalum wa kujivua Uanachama ndani ya CCM

  Kama na ww ulikua mwanachama wa CCM basi kweli kama alivyosemaga JK, CCM ni kokoro.......
 3. dareda

  Jinsi ya kutengeneza Tomato sauce

  Mtoa mada tafadhali malizia na chill sauce kabisa.......
 4. dareda

  Mad tune: Enjoy wimbo mpya wa Christian Bella

  Huyu jamaa melody zake akizeeka tutakua tunamsikiliza Papa Wemba in another era.......
 5. dareda

  Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele

  Mbona kama heading haiendani na content....??? Manake tumeambiwa Airtel ndo anapunguza staff lakini ukisoma huo mkeka ni iSON BP ndo waliotoa hilo tangazo na wanawataja Airtel kama client wao muhimu ambae kaathirika na call volume shortage....... Jamani, tusipende kuhabarisha umma kishabiki...
 6. dareda

  Trump atimua mabalozi wote walioteuliwa na Obama

  Hili si jambo jipya, kwa wafuatiliaji wa US Politics baada ya kuchaguliwa tu WK iliyofuata aliwapa two weeks wajiandae as they will be fired. Nakumbuka wengi walilalamika sana hasa wale wenye familia walidai watoto wao walioko shule wangelisumbuka. All in all to them it is neither new news nor...
 7. dareda

  CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

  Folk religion na other religion maana yake nn.....???@mtoa mada
 8. dareda

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

  Ni maeneo gani kaka tusaidie kurelay info....??
 9. dareda

  Mzee Shakka leo katolewa fasta hewani

  Mi nikajua n Mawingu Tv tu na Kafulila ndo wanaweza fanyiana hivyo kumbe hata baba wa demokrasia......???? No wonder watoto wa demokrasia wanarithi tabia ya baba yao taaratiibuuu.......
 10. dareda

  Rais Jammeh wa Gambia awafuta kazi mabalozi wake 12

  Bro. Dont undermine the power of any sovereign state in this world.......
 11. dareda

  Huyu mzungu kanishangaza

  Manake kakuweka standby......
 12. dareda

  Leo hii na kesho angalieni uzalendo wa vyombo vya habari

  Wala uhuru wa mwenye habari.....
 13. dareda

  Lijimama la kinaijeria

  Itakua muvi ya kinaijeria......
 14. dareda

  Mtatiro: Umefanyika Wizi wa shilingi milioni 369, mali ya chama cha wananchi CUF

  Wakati mwingine unaweza kwenda mbali na kupendekeza n bora hz ruzuku za vyama vya siasa zifutwe tu, kwangu mm pia zimechangia sana kuleta wanasiasa uchwara na utitiri wa vyama vya siasa visivyo na tija kabisa kwa maendeleo ya mtanzania.....
Top Bottom