Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

Ip man 3

JF-Expert Member
May 29, 2016
676
1,000
Me siku ya tatu niliwambia moto unawak kweny nguzo hawakuja wakaja kesho yake na mikwara hatari
 

mikwamba

Senior Member
Nov 13, 2016
108
225
Wakuu nimeshindwa, imebidi nililete huku.

Hawa watu wa TANESCO huhitaji nini hasa ili watoe msaada? Je wanahitaji RUSHWA??

Ni siku ya nne sasa tangu short ya umeme itokee kwenye nguzo na kuunguza kaTV kangu.
Usiku ule tuliwapigia simu na wakaahidi kufika usiku ule. Hatukulala mpaka tulipowapigia tena ilipofika saa nane usiku wakasema hawaji tena ila watakuja asubuhi.
Asubuhi tukawapigia mdada huyu anayehudumu namba 0716768584 akaendelea kutupa matumaini kuwa watakuja mda wowote.
Huwezi kuamini ahadi ni zile zile wanazotupa kila tukipiga simu.

Tupo gizani siku ya nne sasa. Tumekosa msaada. Sina pa kuripoti tena tatizo hili na namba zao za huduma (Emergency) tulizowapigia ikashindikana mpaka sasa ni hizi:
0716768584
0692768587
0655840094

Naombeni msaada wanajamvi, nifanyeje ili hawa watu waje kutengeneza umeme? Tupo giza, usalama hakuna na mambo mengi yamekwama.
Na je wewe ulishawahi kupata usumbufu wa namna hii?
Looh hao,Mm nililala Giza siku tano kisa Umeme unetrip kwenye mita tu.kunipa tu namba za kufungulia issue..mpk nilienda kulianzisha ofcn kwao ndo wakanipa ..wapuuzi KBS hao
 

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
2,694
2,000
Looh hao,Mm nililala Giza siku tano kisa Umeme unetrip kwenye mita tu.kunipa tu namba za kufungulia issue..mpk nilienda kulianzisha ofcn kwao ndo wakanipa ..wapuuzi KBS hao
Pole mkuu. Hizi huduma nyinge unaweza ukaona bora wangepewa wawekezaji
 

mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,285
2,000
Nimejaribu kukumbuka miaka ya nyuma Tanzania tulipokuwa tunateseka kwa kusumbuliwa na Tanesco. Kipindi kama hiki ambacho ni cha ukame, hamna mvua nchi ilikuwa inaingia gizani.

Ukiuliza kwa nini, Tanesco walikuwa wanakuja na majibu rahisi hamna mvua!!!:(:(, sasa hv mvua inaonekana zinanyesha sana, ;)

Nimpe tu hongera Rais wetu mpendwa kwa kuwajibisha wapiga dili, na kusumbua watu pasipo sababu za msingi. Acha tu majipu yatumbuliwe Tanzania ikae kwenye mstari. Tunatamani ututumbulie tu IPTL na vitoto vyake, utakuwa shujaa asiyesahaulika kwa Watanzania.
 

neno1

Senior Member
Oct 9, 2013
197
250
Kwa hili hata kama upo kimya kimya anastahili pongezi. Maana sio kama kabla yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom