kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 8,943
- 16,858
Habari wakuu,kuna mzungu ambae kanipigia kutoka kwenye kampuni kubwa tu ya kimataifa hapa bongo kanipigia simu kaniuliza wewe ndiyo flani na ulituma email ya maombi ya kazi flani kwenye kampuni yetu nikajibu ndiyo akaniambia basi after next few days tutawatumia email ya kuwajulisha wale tutakaokua tunahitaji kufanya nao oral interview.
kilichonishangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?
kilichonishangaza ni kama bado wana watu wao wanaowataka mimi alinipigia kuniambia hayo ili iweje labda kwa nini tu asingesubiri siku ifike aniite kwenye interview kuliko kunitia presha hivi?