Leo hii na kesho angalieni uzalendo wa vyombo vya habari

mps

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
349
500
Anzisha chombo chako cha habari ili uwe unatangaza habari unazopenda.
 
MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,013
2,000
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.

Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.

Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.

Leo na kesho ndio mtajua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.

It is very hard to predict about the future, but it is very easy to predict about how some of our editors are going to behave under certain circumstances.
Ina umuhimu gani hiyo habari???waache kuripoti vitu vya maana waripoti vitu vya kufikirika kwa manufaa ya wachache wenye ugomvi
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,058
2,000
Mkuu hii habari imedhalilisha viongozi wote wa Tanzania , ni habari ambayo imetoka kwa bahati mbaya sana ! Hawakutaka ivuje hata chembe , na huenda ikamgharimu kazi Mutungi ili kuficha aibu .

Shukrani kwa Mungu aliyewezesha mmoja wao ambaye ni mkubwa sana kuvujisha taarifa yote katika kiwango cha KUMVUA TAULO MTU MZIMA SOKONI .
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,831

Mungu akikuchoka ni hatari sana.Wacha waendelee kuumbuka.
 
VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,131
2,000
Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.

Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.

Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.

Leo na kesho ndio mtajua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.

It is very hard to predict about the future, but it is very easy to predict about how some of our editors are going to behave under certain circumstances.

Uangalie TBC na Usome gazeti la uhuru na habarileo kesho utasikia kichwa cha habari kinasema. Mtatiro na wenzake wazushi au Cuf ya Maalim Seif yatafuta kiki ila usishangae
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,600
2,000
Nimetazama jana tv saa 5 usiku naona habari sijui nani anakunywa mvinyo kijiweni.Weeee mke wangu shamwambukiza kuchukia chama cha maneno AKAANZA yeye "simpendi mbaba huyu" akabadili channel fasta tukatazama Judo za Wakorea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom