Mzee Shakka leo katolewa fasta hewani

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,804
2,000
Namchukia sana shaka, huwa anajifanya anajua kukandia africa utadhani yeye ni mzungu. Kipindi kile anamshabikia nyeupe eti ashinde yaani huyu shaka bora afukuzwe tu us, na akirudi kwa m7 amuweke kolokoloni maisha yake yote
 
Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,020
2,000
Namchukia sana shaka, huwa anajifanya anajua kukandia africa utadhani yeye ni mzungu. Kipindi kile anamshabikia nyeupe eti ashinde yaani huyu shaka bora afukuzwe tu us, na akirudi kwa m7 amuweke kolokoloni maisha yake yote
Unamchukia kwa sababu zako binafsi.otherwise shaka yupo vizuri sana.
 
Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
4,876
2,000
Sio lazima kila mtu aanzishe thread....
Siyo lazima uchangie kila thread, ukiona huielewi basi haikuhusu. Hapa tupo watu wengi wenye interest mbali mbali. Habari ikigusa angle yako utaielewa tu.

Mwanzilishi hajakosea mbona tunaojua tunaenda nae vizuri?
 
  • Thanks
Reactions: bbc

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,217
2,000
Mnashindwa nn kulihabarisha jukwaa mnaandika vijimaneno vya kuunga kama fb elezea tukio watu wajue nini kinaendelea ndio kuhabarishana.
 
LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
2,000
Inawezekana wewe ndie hopeless...kwani taarifa kwamba matangazo yamesimamishwa ghafla ulitaka iwe supplimented na nini zaidi ndio nyie mnakomaa haina nyama,haina nyama kwani huu mnofu wa nguruwe ebooh! walioelewa wameelewa nenda kaulize kwenye tweeter ya Shaka nini kilitokea unaniuliza mie ambae pia najiuliza hopeless kabisa!

Acha upumbavu..hii ni public forum...andika walau nyie experts na sisi ma-laymen tuelewe..

Ulivyo mshamba unakuja na denoted language as if kila mtu anaijua,tunavyoomba walau uturahisishie unajibu utumbo kama juha...

Binafsi najua,ila ambao hawajui wakisoma ulichoandika trust me no one will understand...for the benefit of the public walau ungetoa paragraph iliyoshiba kuelezea kisa...

Mngetumiana basi inboxes humo hamna haja ya kuja public kama ni hivyo...shule umefundishwa vizuri kabisa public communication ila hapa unaleta matusi na lugha ya kejeli wakati watu wanakuuliza legitimate questions
 
Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
3,711
2,000
Na
Acha upumbavu..hii ni public forum...andika walau nyie experts na sisi ma-laymen tuelewe..

Ulivyo mshamba unakuja na denoted language as if kila mtu anaijua,tunavyoomba walau uturahisishie unajibu utumbo kama ****...

Binafsi najua,ila ambao hawajui wakisoma ulichoandika trust me no one will understand...for the benefit of the public walau ungetoa paragraph iliyoshiba kuelezea kisa...

Mngetumiana basi inboxes humo hamna haja ya kuja public kama ni hivyo...shule umefundishwa vizuri kabisa public communication ila hapa unaleta matusi na lugha ya kejeli wakati watu wanakuuliza legitimate questions
Na wewe Kama Unajua si utudadavulie?!!!
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,986
2,000
ni baada ya source wake pale studio kuzungumzia masuala ya US ghafla jamaa mmoja akakimbia kumvua kinasa sauti na pakasalia idle,let's watch what comes next week!
Taarifa hii imfikie Kajubi Mukajanga na Kijo Bisimba na hii pia wapeleke mahakamani
 
mtaalamuna84

Member
Nov 22, 2016
66
125
Inawezekana wewe ndie hopeless...kwani taarifa kwamba matangazo yamesimamishwa ghafla ulitaka iwe supplimented na nini zaidi ndio nyie mnakomaa haina nyama,haina nyama kwani huu mnofu wa nguruwe ebooh! walioelewa wameelewa nenda kaulize kwenye tweeter ya Shaka nini kilitokea unaniuliza mie ambae pia najiuliza hopeless kabisa!
Mbona mapovu mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom