Recent content by chikira

  1. C

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni; Bravo JK

    Aloo pole, pole sana. Kama unampongeza Kikwete kwa swala la EPA naona kidogo umekosea.Naomba ujiulize maswali yafuatayo halafu ukishapata majibu ukae chini utulie: *Nani aliibua suala la EPA *Kwanini serikali ya CCM siyo iliyoibua swala la EPA,wakati ndiyo yenye wabunge wengi...
  2. C

    Tujikumbushe sakata la Rada

    Aa,bwana wee, hatujui kama kweli imeharibika au vipi.Kuna methali moja ya kiswahili isemayo wajinga ndio waliwao.Ina wezekana hata haijaharibika,ila wanaendelea kutula tu,si unajua tenaa.
  3. C

    Lowassa asimikwa kiongozi wa kimila wa wamasai

    Kuishi kwingi ni kuona mengi.Ndio mana nasema, watanzania tumekwisha.Hivi hawa hawaelewi kwamba kufanya hivyo ni kujitambulisha na ufisadi wake.Haya ni maajabu ya Musa!
  4. C

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    Historia ndiyo inayo wahukumu.Hata mimi naamini sio wote wahaya au wanaume wenye tabia mbaya.Lakini wengi tabia zenu hazikubaliki.Kama wewe binafsi 'you are okay any how' wanao kuzunguuka watakuona na watakukubali.Samahani kwa kusema ukweli.
  5. C

    Serikali imeishiwa haina pesa za mishahara

    Leo nimepata message kutoka NMB KUWA MISHAHARA TAYARI
  6. C

    Serikali imeishiwa haina pesa za mishahara

    No,jamani mbona mnatia chumvi sana?Hao wafanyakazi wa serikalini ambao mnasema hawajalipwa ni wepi?Mimi niko serikalini.Mshahara uliochelewa ni wa mwezi uliopita tuu, ambao leo tarehe 01.09.2008 tayari umeshatoka.Naomba tujaribu kuwa na facts, tusipotoshe watu.Ni kweli serikali yetu ina makosa...
  7. C

    EYE SPY: Time to retire, Mzee Kingunge

    Haka kazee kamechoka.Ninachoamini ni kwamba kila mtu mwenye akili timamu anakapuuzia,ingawa ni kweli kanachafua hali ya hewa ya kisiasa.Ni bora kakanyamaza,kwa vile watanzania hawatakasamehe na historia itakahukumu.
  8. C

    Kilimo chetu vipi?

    Nimekuwa nikiangalia kwa mshangao mambo mengi yanayoendelea Tanzania.Kwa mshangao, kwa vile tunafanya mambo yetu utafikiri wote kesho tutakufa,yaani kwa kimombo 'we will all be dead tomorrow'.Hivi kweli kuna 'logic' gani ya kutekeleza utatiti wa kilimo kabisa,huku tukidai kuwa kilimo ni uti wa...
  9. C

    Tbs,tfda na wizara ya afya ni uchochoro wa wababaishaji.

    Hawa wasomi walioko TBS(Tanzania Bureau of Standards),TFDA(Tanzania Food and Drugs Administration) na Wizara ya Afya sijui vipi.Miaka nenda miaka rudi tunaona bidhaa feki ikiwa ni vyakula,madawa,nguo nk.vikifurika nchini.Madawa feki na yaliyokwisha muda yamejaa kwenye maduka.Watu wanaendelea...
  10. C

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    Jamani huyu kikwete mwenzenu si muelewi.Mbona kila siku marekani?Rafiki yake Bush ni mwanachama wa "The Skull & Bones",kikundi kibaya sana cha kishirikina.Yeye atapona?Na kama wakimu "initiate",Tanzania tumekwisha.
  11. C

    Tumepigwa ganzi ya ufisadi?

    Mm,mzee mwanakijiji,hata mimi nashangaa sana.Nimekuwa nikiwaangalia watanzania kwa mshangao sana.Kama kweli ni wema kiasi cha hata kunyang'anywa tonge mkononi na wao wakanyamaza kimya Mungu awasaidie sana.Mengi ya kushangaza, mabovu mno, yanaendelea machoni petu,wala sio ufisadi tu.Viongozi wa...
  12. C

    Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    Serikali ya Tanzania ina maamuzi mengi ya ajabu, na hili ni moja wapo.Si jui kinachoendelea ni nini.Ni kana kwamba wale watu waliokuwa wanaweza kufikiri Tanzania siku hizi hawapo.Jamani, askari au mwanajeshi asilipe nauli wakati anapata mshahara kama wafanyakazi wengine?Oh!Tena...
  13. C

    Kasheshe ya chanjo

    Kasheshe ya chanjo ni nzito.Kwa wale ambao hamtaki kusoma mmekaa tu kama mazumbu koko,lazima mtaona sakata la chanzo ni jipya!Kwa sisi wengine hakuna jipya hapa.Hata wadau wenyewe wa mkakati wa kupunguza kizazi kisicho takiwa,kizazi kinachokula tu bila kufanya kazi ya maana hasa,kizazi...
  14. C

    Rais Kikwete aenda Marekani

    Wamekwenda kupanga mikakati ya kufyatua mishale ya mwisho kwa watanzania,Mungu awabariki sana!
  15. C

    Big Brother Africa III

    Sometimes I sit down and wonder,has humanity gone crazy ? People these days don't seem to be able to distinguish between good and evil.How for Gods sake can a responsible,normal and sensible person support Big Brother Africa.To me this is just another evil event carefully orchestrated by the...
Back
Top Bottom