Kasheshe ya chanjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasheshe ya chanjo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chikira, Sep 1, 2008.

 1. c

  chikira Member

  #1
  Sep 1, 2008
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kasheshe ya chanjo ni nzito.Kwa wale ambao hamtaki kusoma mmekaa tu kama mazumbu koko,lazima mtaona sakata la chanzo ni jipya!Kwa sisi wengine hakuna jipya hapa.Hata wadau wenyewe wa mkakati wa kupunguza kizazi kisicho takiwa,kizazi kinachokula tu bila kufanya kazi ya maana hasa,kizazi kinachosumbua kwa kupewa misaada kila wakati,hawakulipenda hili.Walichotaka ni kwamba dawa zao zituue pole pole bila sisi kujua!Na hilo ndilo linalofanyika.Lazima tuamke.Watanzania kwa bahati mbaya hatupendi kusoma.Mambo mengi yako wazi lakini hatuyajui.Kwa wale wanaopenda kusoma nawaelekeza ifuatavyo kwa kuanzia:Nenda Google,type,'targets of the illuminati,halafu 'enter''au 'the secret convenant' halafu 'enter'.Illuminati ni kikundi cha familia 13,ambazo zenyewe ndizo zinazoona zina haki ya kutawala dunia.Wao wanajiona ndio waliopewa mwanga wa kujua lililo baya au jema kwa ajili ya wanadamu.Kwa bahati mbaya. asilimia kubwa ya unaloliwaza,unalolifanya, unalolisikia, unaloligusa na hata unaloliona ni la kwao.Nia yao ni kuwa na 'a New World Order(NWO)',yaani serikali moja ya dunia.Familia ya Malkia wa Uingereza ni moja wapo ya familia hizo. Nawatakia kila la heri.
   
Loading...