nilikua atown once nikaijaribu na ugoro ile nimefika ya nne namalizia fundo la mwisho lika pitiliza na ugoro vikaingia vyote tumboni nika jitusu kuwasha sport nika piga pafu la kwanza na la pili kilichotokea hata kusimulia ni mtihani mpaka leo sinywi wala kuvuta , ila ipo kama wine ilio chacha...
kwa experience ndogo niliyo nayo kuhusu madereva na mazingaombwe ya barabarani
1. huwa wana sinzia akishtuka anakuta chombo kimevuka chalk ya kati na kuanza kuingia site ya mwenzie hapo ata chorachoara mpaka apindue gari ukija kumuuliza nini kilitokea utasikia akikuambia, ALITOKEA BIBI AKE...
Angetokea mtu na full details ingekuwa nafuu haya mliyo changia yana saidia japo si kwa kiwango kikubwa haswa ukizingatia ki'digital kwa swali dogo kama hlo majibu yanatakiwa kuwa up to detail level
Kuhusu Riz ONE sina tatizo nae na hata akipata nafasi ya kupiga yy apige tu maana yupo tofauti na mafisadi wengine wanao ficha pesa uswis na nchi zngne yeye huwa anazirudisha na watu wana pata ajira haswa madereva wamemfaidi na bado wana muhitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.