Wachagga leo watakufa

Nipo huku kwao aiseeeee nashindwa ku-upload photo hapa!Ni balaaa wajameni,yani kama photo inavojieleza.
 
Mshana junior namnan. Napenda sana wachaga wanavoheshimiana na wapareee. Samaki hoyeeeeeeez
 
Mshana kwani wapare hamna siku yenu...

Tuacheni tule ni halali hakuna ya wizi... hapo...

Hapo bado mwaka mpya... ni full furaha...

Long live Kilimanjarooo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom