Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Mkapa aliiba sana na wizi wake uko wazi lakini hakuandamishwa kama JK.
 
Aya ndio aliyoandika kwenye TL yake leo. Mwenye ukweli kuhusu tuhuma za Ridhiwani ajitokeze ili tujue ukweli haswa ni upi.

Anaanza hivi

CXEQ7yuW8AEZubq.jpg


Juu ya hoja Makonda kupata U-DC

CXEVMV9UkAA863E.jpg


Juu ya hoja ya KUKWEPA KODI

CXEVMU5UkAE1WtD.jpg


Nini kilitokea Ofisini kwa Sheria Ngowi

CXEVMXJU0AAi-Zz.jpg


Juu ya UMILIKI NA UENDESHAJI WA MAKAMPUNI YA MALORI NA MABASI

CXEVbrfWEAAu_p1.jpg


Madhara ya maneno yanayosemwa

CXEVMnLUoAAbNnL.jpg


Juu ya habari kwamba ameitwa KUHOJIWA juu ya upotevu wa makontena

CXEWC4mWwAAblxS.jpg
Na hapo naona kabebwa na sheria Ngowi mwenyewe kabisaaaaaaaa picha imepigwa na le mutuz
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    40.2 KB · Views: 731
Nakumbuka aliwahi kushutumiwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama kimoja cha upinzani, shutuma zikaungwa mkono na marehemu Mwenyekiti machachari wa chama kingine cha upinzani. Mmoja akamwambia mwenzake atangulie mahakamani; sijui yalikoishia na sina comments
 
Mi ningemuelewa kama huyo msaidizi wa sheria ngowi akawekwa hapa picha yake tumfananishe na konda!
 
Mi ningemuelewa kama huyo msaidizi wa sheria ngowi akawekwa hapa picha yake tumfananishe na konda!

Pole rizione kuna watu wwzushu sana wengine wanasema wewe tanzaniaone zaidi h ya kina mo. Team nyumbu hao wana hasira za kuukosa urais ha ha haaaaa
 
Nyerere alikuwa na watoto, mwinyi vivyo hivyo, mkapa nae anawatoto, kikwete pia anawatoto wengi tu, je nikwanini Riz 1 pekee kwenye hizo familia ndio awe na wabaya wengi kuliko watoto wa ma Raisi wastafu wote? Mara nyingi kukaa kimya huwa jibu sahihi kuliko kuandika maelezo yote hayo yasio na maana
 
Kuhusu Riz ONE sina tatizo nae na hata akipata nafasi ya kupiga yy apige tu maana yupo tofauti na mafisadi wengine wanao ficha pesa uswis na nchi zngne yeye huwa anazirudisha na watu wana pata ajira haswa madereva wamemfaidi na bado wana muhitaji
 
Nkungulume kuna barua ya vijana toka China gerezani ilitaja jina lake kuwa aliwatuma kupeleka madawa, pamoja na wenzake!!
Vijana wengine walinyongwa,
Hakuna hatua zilizo chukuliwa,waliotajwa wengine walikuwa wabunge, bunge lililopita Serikali ikanyamaza kimya!!
Niwakati sasa wa kuchukua hatua kwa wauwaji wa watoto wetu na taifa letu kwa ujumla!!
 
Last edited by a moderator:
mheshimiwa Riz akutukanaye hakuchagulii tusi,zidisha maombi mungu atakusaidia na wabaya wako wote ipo cku wataaibika

Mkuu wabaya wake ni si ndio hawa nyumbu ,wakiambiwa tu hili jengo ni la ridhiwani wao wanashabikia tu ,hivi vita vilianza kuchezwa na akina FRED lowasa baada ya mzee edo kutofautiana na jk sasa wakaanza tu kuchafuana
 
Eti anasema mwenye ushahidi aulete! Hivi kweli mvuja jasho kariakoo au mkulima pale nyamongo anawezaje kumrekodi au kunasa ushahidi wa picha ya mtu aishiye IKULU anaezungukwa na usalama wa taifa na kila aina ya ulinzi? Na hata kama anao atampelekea nani? Ndio maana unajigamba tulete ushahidi! Ebwanaee sisi ushahidi hatuna bali Serikali ina ushahidi na inajua ukweli labda ndo maana unaweweseka. Usituzibe MIDOMO wala kutuzuia KUSIKIA kwa maana hali yetu kiuchumi,kiusalama ilikuwa mbaya sana ktk utawala wa babako hivyo ni haki yetu kuamini kuwa ninyi mliopewa dhamana ya kukusanya KODI mnahusika moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom