Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya kusafirisha Mafuta na kumiliki vituo vya mafuta

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,478
Mara nyingi nayaona yakiwa barabarani yakiwa either yanaenda au yanarudi toka nje ya nchi.

Ningependa kujua yafuatayo;

1. How profitable is it?

2. Kupeleka mzigo nje ya nchi mf Congo kampuni inalipwa kiasi gani?

3. Hadi uweze kuruhusiwa kuifanya hiyo biashara unatakiwa uwe na nini hasa?

4. Wateja wanapatikanaje?

Nimekuwa natafuta hizi taarifa kupitia kwa watu wengi ila nagonga mwamba kwasabbau wenye taarifa ni wachache na mbaya zaidi hawafikiki.

Ningefurahi kama kungekuwa na mtu anisaidie.
 
na mimi pia i dream to do that kind of business but i havent reliable information.
 
Kwa kuanzia ni vizuri ukienda kigamboni pale tank station kamata mfanyakazi mmoja anaweza kupa mahali ukaanzia....kila la kheri mkuu
 
Jaribu kuwa peleleza madereva wasafirishaji au one day tinga kwenye shell mcheki meneja akupe go ahead kukutana na boss, baada ya hapo kula kitu kitakuwa wazi

Nb: unatakiwa na salio la kutosha litakalo kuwa benki kama mdhamana
 
Wengi wa hao wafanya biashara ni wahindi. Ila kwa upande wa kusafirisha nadhani kuna bei zao ambazo zipo fixed kulingana na kipimo cha mafuta wanachosafirisha. Haina tofauti na haya ma semi yanayopeleka mzigo nchi jirani. Kwa hiyo waweza kuta kwa mfano kusafirisha lita moja inaweza kuwa shilingi 30 then unazidisha na idadi ya lita zilizopo mule ndo unapata gharama hasa ya kusafirisha. Hapo ni mfano nimetoa simaanishi kwamba ni sh. 30.

Ukija kwa upande wa ku import mafuta nadhani kwa Tanzania kuna yule wakala wa serikali ambaye ndo amepewa monopoly ya kuimport mafuta ambayo yanatumika Tanzania. Kwa hiyo hawa wafanya biashara wa mafuta wao nadhani hawaagizi nje bali wanakuwa wananunua kwenye kuyu wakala wa serikali. Halafu wao ndio wanasambaza kwenye vituo vyao vya retail.

Ki ukweli hata mimi hii biashara inanivutia sana kwani profit margin yake ni kubwa sana na kuna mbinu nyingi sana za kupata faida. Hawa watu wanapata faida sana ila nadhani faida ingeweza kuwa maradufu kama wangeachiwa private individuals pia wawe wana import mafuta na wao. Maana huko duniani kuna mahali unaweza kupata cheap oil kuliko hata hiyo bei wanayonunulia kwa wakala wa serikali.

cc Bavaria
 
Last edited by a moderator:
Hii biashara kwa vyovyote vile ina faida sana
lakini bado inafanywa kienyeji

Future ya hii biashara ni kampuni ambayo iko listed DSE
au kampuni ya kupitisha mabomba hadi nchi jirani kama ilivyo Zambia na TAZAMA...

Atakae wahi kuwekeza kwenye future ndie atakae faidika zaidi....
 
Angetokea mtu na full details ingekuwa nafuu haya mliyo changia yana saidia japo si kwa kiwango kikubwa haswa ukizingatia ki'digital kwa swali dogo kama hlo majibu yanatakiwa kuwa up to detail level
 
Tanzania tunatumia Bulk Petroleum System ambayo tender inafanyika kwa kumpata supplier kwaajili ya ku import mafuta yote yaan white petroleum (Diesel, Petrol, Jet A1/IK). Winner wa tender ni yule lowest bidder. Reason ya kutumia hii system ni kuweza ku control quality na price katika soko la Tanzania. Uli uimport mafuta nilazima uwe registered na uwe na leseni ya ewura na pia uwe member wa Petroleum Importation Cordinator (PIC) ambao ndio wamepewa usimamizi wa uingizaji mafuta kwa pamoja nchini. Hope this will help if you need mo info wapo wengine wanaweza kumusaidia
 
Jaribu kuwa peleleza madereva wasafirishaji au one day tinga kwenye shell mcheki meneja akupe go ahead kukutana na boss, baada ya hapo kula kitu kitakuwa wazi

Nb: unatakiwa na salio la kutosha litakalo kuwa benki kama mdhamana

Kama una mwanga kidogo tusaidie then wengine watajazia nyama.
 
Wengi wa hao wafanya biashara ni wahindi. Ila kwa upande wa kusafirisha nadhani kuna bei zao ambazo zipo fixed kulingana na kipimo cha mafuta wanachosafirisha. Haina tofauti na haya ma semi yanayopeleka mzigo nchi jirani. Kwa hiyo waweza kuta kwa mfano kusafirisha lita moja inaweza kuwa shilingi 30 then unazidisha na idadi ya lita zilizopo mule ndo unapata gharama hasa ya kusafirisha. Hapo ni mfano nimetoa simaanishi kwamba ni sh. 30.

Ukija kwa upande wa ku import mafuta nadhani kwa Tanzania kuna yule wakala wa serikali ambaye ndo amepewa monopoly ya kuimport mafuta ambayo yanatumika Tanzania. Kwa hiyo hawa wafanya biashara wa mafuta wao nadhani hawaagizi nje bali wanakuwa wananunua kwenye kuyu wakala wa serikali. Halafu wao ndio wanasambaza kwenye vituo vyao vya retail.

Ki ukweli hata mimi hii biashara inanivutia sana kwani profit margin yake ni kubwa sana na kuna mbinu nyingi sana za kupata faida. Hawa watu wanapata faida sana ila nadhani faida ingeweza kuwa maradufu kama wangeachiwa private individuals pia wawe wana import mafuta na wao. Maana huko duniani kuna mahali unaweza kupata cheap oil kuliko hata hiyo bei wanayonunulia kwa wakala wa serikali.

cc Bavaria

Siku tuende huko kigamboni tuone tunaanzia wapi.
 
Last edited by a moderator:
Hii biashara kwa vyovyote vile ina faida sana
lakini bado inafanywa kienyeji

Future ya hii biashara ni kampuni ambayo iko listed DSE
au kampuni ya kupitisha mabomba hadi nchi jirani kama ilivyo Zambia na TAZAMA...

Atakae wahi kuwekeza kwenye future ndie atakae faidika zaidi....

In the mean time hata sisi wenye vipesa vya ESCROW tunaweza kuweka magari yetu barabarani tukapeleka mzigo congo.
 
Wewe petrol station kibao,ma depot kibao.
Nenda moja kwa moja muone meneja masoko atakupa details zooote.
Lakini kwa sasa inataka moyo mana kuna taasisi inaitwa EWURA na Wengine NEMC hujawagusa TRA wanavyo ikodolea macho.
Acha kabisa jipange vizur

Sawa. Hakuna kitu kisicho na changamoto.

Naamini nikiwa na taarifa kamili naweza kukabiliana nazo.

Shukrani kwa msaada wako.
 
Tanzania tunatumia Bulk Petroleum System ambayo tender inafanyika kwa kumpata supplier kwaajili ya ku import mafuta yote yaan white petroleum (Diesel, Petrol, Jet A1/IK). Winner wa tender ni yule lowest bidder. Reason ya kutumia hii system ni kuweza ku control quality na price katika soko la Tanzania. Uli uimport mafuta nilazima uwe registered na uwe na leseni ya ewura na pia uwe member wa Petroleum Importation Cordinator (PIC) ambao ndio wamepewa usimamizi wa uingizaji mafuta kwa pamoja nchini. Hope this will help if you need mo info wapo wengine wanaweza kumusaidia

Shukrani kwa msaada wako
 
Back
Top Bottom