Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

1521-net-market-share-jan-2016.jpg

Six months after launch, Windows 10 has finally leapfrogged over both XP and 8.1 to become the second most popular desktop operating system in terms of Web traffic.

In January, Windows 10 snagged a global market share of 11.85 percent, up from 9.96 percent in December, researcher Net Market Share reported Monday. The latest number showed a healthy upturn following several months of slower growth in adoption.

At the same time, Windows XP usage actually inched up about half a point from last month to 11.4 percent, while Windows 8.1's cut of the market remained flat at 10.4 percent

The increase in market share for Windows 10 signals that the new software may finally be getting a measure of mainstream awareness. Following the poor reception to Windows 8, Microsoft is eager to prove that its successor, Windows 10, is an appealing and user-friendly operating system.

Windows 7 and 8.1 users have six months left to take advantage of the free Windows 10 upgrade, which is good only for one year following the software's release on July 29. After the freebie expires this summer, Windows 10 will cost them $119 for the Home edition and $199 for the Pro version.

Windows 7 kept its lead among desktop operating systems last month, but its share dropped to 52.4 percent from 55.6 percent in December, a sign that more people are jumping ship to Windows 10.

Microsoft has been pushing the free upgrade through frequent pop-up reminders, which some may find annoying but which have undoubtedly helped trigger the increase in Windows 10 adoption. Windows 10 is still listed as an optional upgrade, but Microsoft said it will change that status to a recommended upgrade early this year, which could prompt more people to install it.

SOURCE: CNET
 
Ukweli ni kwamba window 7 na xp ni friendly user. Tofauti na hizi window zingine. Shida tu ni kuwa xp inasumbuliwa sana na wadudu. Lakini window 7 inajitahidi. Shida inakuja pale wanapopanga kusimamisha update za window 7 kama walivofanya kwa win xp
 
Ila kama unaelewa win 10 iko poa sana shida ni kwamba inahitaji muda kuizoea
 
the most stable window badala ya xp ni window 7

siku zote os ya zamani inakuwa stable sababu imeshapata patch nyingi, xp ina patch zake za miaka 12 na win7 ina patch za miaka karibu 7.

win 10 itapata update yake ya kwanza muda si mrefu ambayo ita improve mambo mengi.

kama unatumia windows kwa mambo ya kazi na productivity ndio si vyema kudandia win 10 mpaka ikitimiza atleast mwaka.

ila kwa watu wa kawaida windows 10 ni must have.
-direct x12 inaongeza perfomance hadi asilimia 20 na kupanda hivyo kama bi gamer windows 10 inakuhusu. sasa hivi survey za steam zinaonesha 1/3 ya gamers tayari wamesha update windows 10.

-processor na hardware mpya hazitengenezewi driver na support za os za zamani hivyo laptop mpya ukieka os kama win 7 unajitia tu kitanzi

-pia kuna improvement nyingi windows 10 ikiwemo task manager ambayo yenyewe inadeserve kukutoa win 7 kukuleta 10. task manager ya win 7 imekaa kizamani sana.

-windows 10 pia vitu vingi vinakuja na os kama wifi, webcam, dashboard ya modem, nk huhitaji separate app kuzitumia

-bila kusahau virusi kwenye 10 ni haba. windows defender ina handle threat nyingi tu
 
upo sahih mkuu mimi nilijifunza hvo in hard way..mi ndo nlijitia kimbelembele kuupdate wa kwanza wind 10 kutoka 7..nilijuta nikakutana na bugs za kufa m2 na ikaniharibia sana mambo yangu bas toka cku hyo shpend win 10 and yeai iam impressd with new win defender
 
mimi tangia nione mawenge ya windows 8, sitakaa ni take risk ya kubadilisha windows 7 yangu tena
 
Haya mawindows yana matatizo, mambo ya kulazimishana ku-update kutoka ends moja to another siyo sahihi.

Ngoja tukomae huku kwenye Linux.
 
Haya mawindows yana matatizo, mambo ya kulazimishana ku-update kutoka ends moja to another siyo sahihi.

Ngoja tukomae huku kwenye Linux.

kwani linux ndio hakuna updates? na update ni kwa faida yako ina solve bugs na pia security updates zinakulinda.

pia windows 10 unaweza kuilock down isipate updates ukawa unatumia tu, na feature hii imefanya kampuni nyingi kuruka toka windows xp kuja windows 10. mfano ATM machine
 
Linux wana-update lakini siyo kwa kulazimishana kama hizi Windows.
 
even windows sio lazima eka unatumia metered connection haitaji update au kama hutumii home (una pro au enterprise) zipo option za kueka off updates na windows za zamani zote zina option ya kueka off updates

windowsupdate.jpg
Hii screenshot nadhani ni ya Windows 7, 10 sijaona sehemu ya kuzima updates hivyo siku ikiamua kutembea na kifurushi chako kama ni major update inabidi uwe mpole tuu
 
Hii screenshot nadhani ni ya Windows 7, 10 sijaona sehemu ya kuzima updates hivyo siku ikiamua kutembea na kifurushi chako kama ni major update inabidi uwe mpole tuu

hio comment yangu kama umeisoma vizuri imegawanyika mara mbili windows ya sasa (win 10) na windows za zamani.

ili usipate auto updates inabidi uwe na win 10 pro au enterprise/education. home ina auto updates

pia ukieka metered connection pc haiwezi kuji update yenyewe sababu umeiambia kuwa bundle yako ni ndogo
 
kwani linux ndio hakuna updates? na update ni kwa faida yako ina solve bugs na pia security updates zinakulinda.

pia windows 10 unaweza kuilock down isipate updates ukawa unatumia tu, na feature hii imefanya kampuni nyingi kuruka toka windows xp kuja windows 10. mfano ATM machine
Kama natumia cracked version ya win 8.1 niki install updates za windows kuna tatizo??? Itaniletea shida kwenye window??
 
Back
Top Bottom