Ahahahahahahahahahaha Mkuu, Captain Price hajambo? Yuri je? Vipi akina Makarov!?
Naipenda sana ile Mission ya kumlinda President, helkopta ya kuokoa inapokuja tuu, mara makarov huyoooo!!!!
Kiukweli Call of Duty 3 ni tamu saba aiseee!!! Napenda hata siraha zake na mazingira ni ya kisasa zaidi ndo maana ikaitwa modern warfare.
Bila kusahau the end of the game Captain Price anapomuua adui kisha anadondoka mpaka chini harafu anajisogeza pembeni kisha anawasha sigara, hatari sana hawa watu Mkuu!!
Ila Mkuu kuna hii Call of Duty 2 Black Ops, unaionaje?