Hii nayo ni mojawapo ya chanzo tena kikubwa, lakini hiyo ya mauzauza ya kichawi pia ipo.mkuu hiyo no 2 ni kuwa gari ikiwa kwenye mwendo mkali halafu ukakutana na kitu kama mnyama ukakikwepa lazima uta kosa control na gari itapata ajali. ndio maana unaambiwa usikwepe. Halafu mara nyingi kutoka na uchov au pombe madereva wengi huwa wanasinzia basi kwa hiyo hawaw kusema walisinzia wakapata ajali. wanadanganya kuna kitu kilikatiza mbele yake.. kama baiskeli etc
Asilimia kybwa wanaosema hakuna uchawi ni washirikina wakubwaDuh @barafuyamoto wewe ni noma kweli, umesahau jana mida ya saa 9 usiku ulinikimbiza huku ukiwa umevaa hivyo hivyo halafu leo wasema hauamini uchawi? Ogopa Mungu wako.
SEEING IS BELIEVING!
Kama sitaona kwa macho yangu kitendo cha kichawi, SITAAMINI UCHAWI KAMWE. Ila naheshimu imani za watu, wanaoamini uchawi upo na waamini!
Cha kushangaza kila mtu anayeamini uchawi nikimuuliza umewahi kuona kwa macho yako anadai hapana, siongelei kuona kibuyu kimefunikwa ardhini, naongelea vitu kama 'mtu anapaa na ungo, mbuzi anaongea', uchawi kwangu ni kama a traditional psychology, unacheza tu na akili za watu! Ni suala la imani.

Lakini huyo mola si ni muumba wa kila kitu na huo uchawi kauumba yeye? Mnamumba nini tena?Duh.... Eeh Mola tunusuru waja wako hasa katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka....
mkuu hiyo no 2 ni kuwa gari ikiwa kwenye mwendo mkali halafu ukakutana na kitu kama mnyama ukakikwepa lazima uta kosa control na gari itapata ajali. ndio maana unaambiwa usikwepe. Halafu mara nyingi kutoka na uchov au pombe madereva wengi huwa wanasinzia basi kwa hiyo hawaw kusema walisinzia wakapata ajali. wanadanganya kuna kitu kilikatiza mbele yake.. kama baiskeli etc

Ukiwa na imani juu ya Allah, huwezi kukutwa na ujinga kama huo. Nimetembea sana na magari usiku, sijawahi ona hiyo kitu. Akiwazacho mjinga ndicho kitachomtokea.Mada iliyopita tumezungumzia kuhusu uchawi na ushirikina kwenye mahakama zetu... Hapa tunaangalia eneo lingine muhimu BARABARA ZETU
Madereva katika hili ndio wanaweza kuwa mashahidi wazuri sana kwakuwa ni wahanga wakubwa na hivi vitu wanakutana navyo sana, hasa madereva wa daladala, mabasi ya mikoani na magari ya mizigo
Uchawi wa barabarani uko wa aina nne
1. Uchawi unaomhusu mmiliki wa gari husika... Hii mara nyingi ni kwa ajili ya kutoa kafara kwa ajili ya kulinda au kuongeza utajiri wake, baadhi hujui kabisa kuwa gari lake siku hiyo litapata ajali na watakufa watu kadha. Madereva wanaostuka huacha kazi ghafla
2. Uchawi unaohusisha vilinge na njia za wachawi.... Hawa watu huwa hawapishi kitu au mtu, kwahiyo ukiingia kwenye anga zao ujue wa kuumia ni wewe, ndio maana ajali nyingi za barabarani dereva atakwambia aliona mnyama au mtu au kitu akajaribu kukikwepa ndio ajali ikatokea... Kamwe hutakiwi kukwepa
3. Uchawi unaohusisha roho zinazotangatanga, mapepo mizimu na mashetani, hizi huwa ni tamaa tu ya kuua kunywa damu au kuleta maafa na majonzi katika jamii
4. Uchawi unaomhusu dereva mwenyewe au mfanyakazi wa gari, maisha magumu na tamaa ya mali husababisha watu wafanye mambo ya ajabu, dereva anaenda kwa mganga na kupewa sharti la kupindua gari watu wafe mambo yake yanyooke, lakini pia wengine huambiwa kuwa anakosa kazi kwasababu ya fulani hivyo hutegeshewa Phantom na kupindua gari, akisalimika kifo anabaki na ulemavu
Ya barabarani ni mengi tusiyoyajua, magari mengi yamezindikwa, Madereva wamezindikwa wafanyakazi wamezindikwa tiketi zimezindikwa.. Unapofika salama ni kumshukuru Mungu na ndio maana tunasisitizana sana kufanya ibada Sala na maombi kwa imani zetu kabla ya kuanza safari
Mkuu mbona unanitisha ni hizi pichaHivi kwanini tunasema eti ulaya hakuna hivi Vitu? Hivi ni uvivu wa kusoma na kufikiri au? Wenzetu hawakuishia kubisha tu bali walifanya kwa vitendo, walitegesha powerful automatic cameras na wakapata majibu ya kushangaza kwenye zile sehemu zinazosemwa vibayaView attachment 313555View attachment 313556View attachment 313557
Sasa ndio nini?
Kwani ulaya ndio nini au unafikiri ulaya hakuna watu wajinga?Hivi kwanini tunasema eti ulaya hakuna hivi Vitu? Hivi ni uvivu wa kusoma na kufikiri au? Wenzetu hawakuishia kubisha tu bali walifanya kwa vitendo, walitegesha powerful automatic cameras na wakapata majibu ya kushangaza kwenye zile sehemu zinazosemwa vibayaView attachment 313555View attachment 313556View attachment 313557
Uongo mwingine huu..