Gari za kampuni ya Honda kwa matumizi ya barabara za Bongo.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
22,626
40,526
Wakuu Salaam,yoyote mwenye uelewa juu ya gari za kampuni ya Honda hasa hizi SUV kwa matumizi ya barabara zetu za Tanzania/Off Roads,durability yake,upatikanaji wa spare parts zake,services yake na utumiaji wa mafuta wa hizi gari.
 
Wakuu ina maana hizi Gari za Honda hapa Bongo hazipo?Mkuu Mshana Jr na Rrondo naomba msaada wenu.
 
japo sizifahamu ila HondaCRV mpya imetulia ila kuna zile HRV100 zinaonekana kudumu zaidi
 
Moja n 2002 na hiyo ya pili inayoonekana kwa upande wa nyuma n ya 2006 toleo la 2006-2013
 

Attachments

  • 1454094638730.jpg
    1454094638730.jpg
    26.3 KB · Views: 129
  • 1454094677388.jpg
    1454094677388.jpg
    36.3 KB · Views: 125
Moja n 2002 na hiyo ya pili inayoonekana kwa upande wa nyuma n ya 2006 toleo la 2006-2013
Mkuu vipi kuhusu upatikanaji wa spare parts zake,umaira wake kwenye off roads za kibongo,matumizi ya mafuta,services yake na pia durability yake inakuwaje?
 
Back
Top Bottom