Recent content by Agricultural Reseacher

  1. A

    Wanawake mnaosafiri na watoto mnaleta kero kwa abiria wengine

    Sio watoto tu hata baadhi ya watu sijui huwa wnamatatizo gani? Unakuta lijamaa linatapika na unaweza kutapikiwa usipokua makin au alale then lina kuangukia huku linatoa udenda, kuagiza mivitu dirishani kama maziwa… anakunywa gari ikitingishika maziwa yanakumwwgkia, kuvua viatu unakuta mtu ana...
  2. A

    Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Kwanini wanyama kama hawa wasifanyiwe training wakawa wanatumika jeshini… ? Nahis jeshi la nchi kavu lingefanikiwa zaid kama lingekuwq na wanyama kama hawa kushambulia adui, kwa mfano vita ya ukrain na Urusi… Ukraine [emoji1255] wangeyaachia haya madragoni kama 50 hivi kushambulia aisee pangekua...
  3. A

    Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

    Yaani usipokuwa makini kwenye haya Mabenk unapigwa without any problems halafu mwenzako anaenda kununua ka IST na hela zako[emoji2][emoji2][emoji2]
  4. A

    Upandaji wa shamba la mkonge

    Asante kwa maoni yako
  5. A

    Upandaji wa shamba la mkonge

    Lipo Mkuu Piga namba 0713479269 kwa inshu za masoko Utafiti, Agronomia na Afya ya Udongo piga 0674086892 Asante
  6. A

    Kilimo na Masoko ya mkonge

    UTANGULIZI… -Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi. MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO -Mwaka 2019 Serikali ilitangaza zao la mkonge...
  7. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    -Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II -Kipindi cha marejesho (Payback period) Kilimo-Biashara -Kilimo biashara ni nini? Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO...
  8. A

    Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
  9. A

    Upandaji wa shamba la mkonge

    Vyanzo vya miche bora ya Mkonge 1. Maotea/Matoto ya Mkonge Mkubwa (Suckers) 2. Vikonyo vilivyokuzwa katika kitalu Hasara za kutumia maotea 1. Si rahisi kupata miche inayo lingana urefu, umri na uzito 2. Ni vigumu kupata maotea ya kutosha shamba zima 3. Mkonge hukomaa na kutoa milingoti mapema...
  10. A

    Kilimo cha zao la Mkonge

    HISTORIA YA ZAO LA MKONGE Zao la mkonge liliingizwa nchini Tanganyika mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo. Mtaalamu huyo alichukua miche 1000 kutoka Pwani ya Mexico kwenye jimbo la Yuctan na kuisafirisha kupitia Frolida...
Back
Top Bottom