Agricultural Reseacher
Member
- Jun 7, 2022
- 14
- 21
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Kipindi cha marejesho (Payback period)
Kilimo-Biashara
-Kilimo biashara ni nini?
Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO na neno BIASHARA.
Ni shughuli ya kilimo inayo husisha matumizi bora ya elimu ya ujasiriamali katika kujipatia faida.
-Nguzo kuu 4 za kilimo biashara ni:
•Wazo sahihi
•Maarifa na uzoefu (Kilimo chenye tija kinahitaji maarifa na taarifa sahihi)
•Rasilimali (Ardhi, mtaji wa fedha nk)
•Juhudi ya kazi.
Gharama za kuzalisha mkonge ekari moja Kwa Mkulima Mdogo
- Uandaaji wa shamba:
Ø Kukata miti na kung’oa visiki ni sh. 100,000.00
Ø Kukusanya na kusafisha eneo ni sh. 50,000.00
Ø Kulima kwa trekta (Ploughing) ni sh. 60,000.00
Ø Kulainisha udongo (Harrowing) sh. 50,000.00
q Kupima shamba kwa ajili ya kupanda miche:
Ø Kukata mambo za kuweka vipimo vya shamba (Layout) sh. 10,000.00
Ø Kamba ya mkonge kilo 4 sh. 20,000.00
Ø Gharama ya kulipa wafanyakazi 2 sh. 30,000.00
Utunzaji wa shamba miaka mitatu ya kwanza
Ø Palizi kwa miaka 3 @250,000 sh.750.000.00
-Jumla ya gharama zote kabla ya kuvuna majani ya kwanza ni sh. 1,444,000.00
Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Kwa kawaida mavuno ya kwanza hupatikina kidogo (tani 0.4)
-Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
- Mauzo ya singa yataingiza sh. 1,400,000.00
-Faida baada ya kuondoa gharama za uwekezaji na uendeshaji kwa ekari ni sh. (544,000.00)
Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Mwaka 2 mavuno huongezeka kidogo (tani 0.8)
Kipindi cha marejesho (Payback period)
-Mradi unatazamiwa kurejesha gharama zote za uwekezaji na kuanza kuingiza faida katika mwaka wa 2 wa ukataji majani (mwaka wa 4 tangu shamba kuanzishwa).
- Mkonge aina ya H.11648 huzeeka inapofikisha miaka 12-15, hivyo mkulima ataendelea kupata faida kubwa kwa kuwa gharama pekee atakazolipia ni utunzaji, ukataji na usindikaji.

- Jumla ya gharama za uzalishaji tangu kuanza kwa mradi ni sh. 1,444,000.00
- Gharama za uvunaji kwa ekari sh.100,000.00
-Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
- Mauzo ya singa yataingiza sh. 1,400,000.00
-Faida baada ya kuondoa gharama za uwekezaji na uendeshaji kwa ekari ni sh. (544,000.00)
Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Mwaka 2 mavuno huongezeka kidogo (tani 0.8)
- Jumla ya gharama za uzalishaji uthibiti wa magugu shambani ni sh. 250,000.00
- Gharama za uvunaji kwa ekari sh.100,000.00
- Gharama ya usindikaji wa tani 1 ni sh. 400,000.00
- Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
- Mauzo ya singa yataingiza sh. 2,800,000.00