Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Nimempa sifa baada ya kuona wazungu wamemnyima sifa zake stahiki katika Big 5 ya wanyama wakali na hatari, kisa tu kwa vile hakuwahi kupatikana kwao ulaya
Mkuu huyo kenge hana uhatari kihivyo. Mnyama kama unaweza kumkimbia huyo kawaida tu hatari yake kama wengine tu
 
Tukiachana na hayo mengine ya speed nk ambayo kila mnyama kapewa namna yake ya kutembea na kukimbia. Tuje kwenye swala la Tiger au Simba kumu attack huyu jamaa.

Hapa kuna mambo mawili tofauti ambayo haukuyafahamu. Mambo hayo ni:
1) Tiger au Simba akimu attack komodo ni lazima atahitaji amfanye kitoweo baada ya attack. Kwahiyo hapo tunaona kabisa attack ya mnyama Tiger au Simba itasababisha vifo vya wote wawili, yani komodo na yeye tiger au simba kwa sababu ya venom (sumu) kali iliyo katika mwili la hili dubwasha.
Ikitokea Tiger au Simba ndo kaliwa timing na komodo basi hapo predator huyo atakuwa hana ujanja wa kukwepa kuwa kitoweo cha hili dudu.
Mkuu kuna Jelly fish nae balaa mwingine kuna Samaki anaitwa Bocha ana fanana na mawe sumu yake kali sana akikuchoma na Hata mwiba wake sehemu iliyochomwa inaanza kuoza muda huo huo kadri damu inavyopanda zunguka
 
Mkuu kuna Jelly fish nae balaa mwingine kuna Samaki anaitwa Bocha ana fanana na mawe sumu yake kali sana akikuchoma na Hata mwiba wake sehemu iliyochomwa inaanza kuoza muda huo huo kadri damu inavyopanda zunguka
Duh kumbe kila mtemi ana mtemi mwenzie
 
Ana staili yake nyingine ya kupata nyama, hupakaza sumu yake kwenye nyasi halafu yeye huondoka.
Badae au kesho yake komodo hurudi pale kula nyama. Mnyama yoyote atakae kula zile nyasi hufa hapo hapo.
Source National Geographic channel
Asante mkuu kwa kuongezea nyama kwa hili ambalo wengi tulikuwa hatulijui. Yani huyu mnyama hutumia akili sana katika mawindo yake.
 
Kenge aliechangamka

Haujaingia miziki ya koboko, simba, chui
Mkuu mkorea koboko akikuotea anakugonga unakufa kwa amani, huyu akikuotea anakung'ata na kukuuwa kwa kukumega kiungo kimoja baada ya kingine huku ukiwa hai hadi unaisha. So hauoni kama hili dudu ni hatari zaidi?

Hebu fikiria mara mbili mkuu.
 
Kwanini wanyama kama hawa wasifanyiwe training wakawa wanatumika jeshini… ? Nahis jeshi la nchi kavu lingefanikiwa zaid kama lingekuwq na wanyama kama hawa kushambulia adui, kwa mfano vita ya ukrain na Urusi… Ukraine wangeyaachia haya madragoni kama 50 hivi kushambulia aisee pangekua patamu
 
Mkuu huyo kenge hana uhatari kihivyo
emoji16.png
emoji16.png
. Mnyama kama unaweza kumkimbia huyo kawaida tu hatari yake kama wengine tu
Wataalam wenyewe wa mambo ya wanyama washakiri hadharani (youtube) kama unavyoona kwamba hili dubwasha ni hatari hata kwa king of the jungle Simba, sasa mimi na ww tunawezaje kulichukulia poa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8
Mtoa mada umedanganya watu , sio mnyama hatari kama uanvyodai , wanyama hatari wapo na wanajulikana , ana kiwango chake cha uhatari Ila sio hatari zaidi hata kumfikia cobra tuu
Mkuu Slowly sio mimi pekee niliesema hivi. Hata wataalam wenyewe wa mambo ya wanyama washakiri hadharani kuwa hata huyo king of the jungle Simba, hawezi kuweka mguu maeneo ya hawa viumbe.
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8

Similar Discussions

Back
Top Bottom