Huyu jamaa n mda sasa tangia nikutane na comment zake kwenye uzi tofaut tofaut,,,
Kikubwa nilichogundua kwa huyu mchz n kwamba anaulimbukeni mwingi ndio unaompelekea kuandika v2 vya ajabu!!
Wakuu msameheni tu ndio madhara ya technology kuingia vijijini [emoji120]
"Mchumba nipigie leo nataka kulala mapema"
M2 kakwambia hivyo kwamba leo anataka kulala mapema bado unajiuliza eti mbona ghafla na c kawaida yako kulala mda huo,,,,,
NB: Listen 2 understand don't listen to reply
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.