Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 912
Kwa hio pc na printer utakua unayumba at least aanze na ile printer ya laki nneSafi,
1. Kibanda cha chipsi na mishikaki.
2. Biashara ya Kuuza Mashuka ya Mitumba.
3. Mini Stationery
Mfano:
Kodi: Tsh 300,000
Desktop:Tsh 250,000
Meza 2: Tsh 100,000
Printer hp 2130: Tsh 100,000
Peni, Bahasha, Gundi, Stapler, Punch, A4 Rims: 50,000
Viti vya plastiki 3: Tsh 39,000
Mbao za kuwekea bidhaa ukutani: Tsh 60,000
Madaftari, Counter books, modem ya internet: 100,000
Anza na hivyo hapo unaweza kubaki na 100,000 au 150,000 maana tunashumu kwenye kusafirisha vitu unaweza ukatumia 50,000 hadi 100,000
Hiyo iliyobaki weka pembeni kwanza.