CCM Wazalendo tuandamane Rais Ramaphosa arudishe zawadi zetu!

Ni majuzi tuu Rais wa SA alikuja kwa ziara ya siku mbili kabla ya mkutano wa SADC na katika ziara hiyo tulimpa zawadi nyingi yeye na mkewe.

Hatukuishia hapo tulimpa vitabu vingi vya kujifunza kiswahili kumbe anatusanifu tuu sio ndugu yetu.Nawashauri wana CCM "wenzangu"

tuandamane kudai zawadi zetu maana haiwezekani aone ndege yetu "HapaKaziTuu" inakamatwa kwa amri ya mahakama yeye kimya tuu kama vile yeye na Mtukufu Rais wetu sio "marafiki"!

Hajui kwamba ingekuwa huku pamoja na mahakama kuzuia wa kwetu angeamuru ndege iondoke?

Mbona mahakama iliwahi kuzuia nyumba zisibomolewe Kimara akasema "bomoa" pamoja na zuio la mahakama? Ndio, kwani Kimara sii hawakumpa kura kama wa Mwanza?

Ramaphosa kashindwa nini wakati alisema hapa TZ ni marafiki zangu?

Tuandamane bwana! Kwanza polisi hawawezi kutuzuia kama wote tutavaa mashati yetu ya kijani na mabango ya kumsifu mzee wetu.

Jee tuanzie wapi maandamano yetu?
Wale wanaotumiwa na mabeberu wasichafue adhima yetu hii, ambayo watu mashuhuri tutawaalika. Atakuwepo Dr Slaa na rafiki yake wa siku hizi Musiba, Polepole, Wabunge kama Lusinde, Nkamia, Musukuma na Mlinga kwa kutaja wachache.
Tuanzie White House mpaka lumumba
 
mnachukulia mambo kwa kujuana ndo tabu yenu.
huku hakimu akiwahukumu wapinzani anapandishwa cheo.
huko Sheria Tu Kwa Sheria .
 
ccm hawana akili kabisa hili ndio.tatizo linalofanya rais Wangu Magufil kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa 100% sababu ya hawa wanaopenda madaraka kwa kusifia sifia
Ni majuzi tuu Rais wa SA alikuja kwa ziara ya siku mbili kabla ya mkutano wa SADC na katika ziara hiyo tulimpa zawadi nyingi yeye na mkewe.
Hatukuishia hapo tulimpa vitabu vingi vya kujifunza kiswahili kumbe anatusanifu tuu sio ndugu yetu.Nawashauri wana CCM "wenzangu" tuandamane kudai zawadi zetu maana haiwezekani aone ndege yetu "HapaKaziTuu" inakamatwa kwa amri ya mahakama yeye kimya tuu kama vile yeye na Mtukufu Rais wetu sio "marafiki"!
Hajui kwamba ingekuwa huku pamoja na mahakama kuzuia wa kwetu angeamuru ndege iondoke?
Mbona mahakama iliwahi kuzuia nyumba zisibomolewe Kimara akasema "bomoa" pamoja na zuio la mahakama? Ndio, kwani Kimara sii hawakumpa kura kama wa Mwanza? Ramaphosa kashindwa nini wakati alisema hapa TZ ni marafiki zangu?

Back
Top Bottom