Wakuu,
Jumanne tarehe 1 Julai, imetangazwa kuwa itakuwa ni sikukuu ya mabenki(bank holiday) Tanzania na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania.Kwahiyo mabenki hayatafanya kazi siku hiyo, wenye shida ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tarehe 01 Julai, 2008 siku ya Jumanne tunatoa taarifa ya kuahirisha Press Conference
mpaka hapo mtakapo taarifiwa vinginevyo. Upatapo ujumbe huu naomba utoe...
Tunakesha tukifanya majaribio ya kutangaza "live" kutoka studio zetu mpya... pembezoni mwa jiji la Detroit. Ukiingia kwenye KLH News upande wa kulia chini ya video kuna mahali panasema sikiliza...
Unajua kwa nini operesheni hii ilifanywa hapaTanzania?
Serikali imeshahisi tunakoelekea ni kubaya siku wananchi wakishindwa kuvumilia ubwebwaji wa mafisadi itakuwa kazi ,hivyo ni bora kuanza...
Ninayo CD ROM ya Desktop....Almost new, I upgraded my PC with CD Writer..
- Its almost new, CD ROM...Working, GIVE OFFERS !
Piya, Ninayo Laptop...Lakini screen yake its almost not standing, plus...
Hello people !
Just recently bought, Nokia 3310.
In excellent condition.
HIGHLY durable and Strong phone !
Give your Offers if anyone interested in it....
Comes with Grey Colour...
Kwa kuwa hapa ni pa matangazo madogo madogo, basi mie natangaza kuuza vitu vifuatavyo:
1) Laptop. HP Compaq NX6110. Haifanyi kazi. Hard-disk drive controller imekufa. Hizi NX series zilikuwa na...
Tunaendelea na majaribio kwenye klhnews na muda huu nimeanza kurusha mchanganyiko wa nyimbo na baadhi ya mahojiano na matangazo niliyoyafanya huko nyuma. Wote mnakaribishwa kusikiliza. Zaidi...
Friday the 13th is considered a day of bad luck in English-, French- and Portuguese-speaking countries around the world, as well as in Austria, Germany, Estonia, Finland, The Netherlands, Belgium...
Leo nimepata aibu sana jamani. Kuna watu wanataka kwenda Tanzania kuona Simba.
nikasema easy, tuma maombi sweden mara moja. kufungua mtandao wa embasy wameweka simu hii +46 8 732 24 30/31...
If you receive a mail called' POSTCARD,' even though sent to you by
A friend, do not open it! Shut down your computer immediately.
This is the worst virus announced by CNN. It has been...
Global Positioning System (GPS), space-based radio navigation system, consisting of 24 satellites and ground support, that provides accurate, three-dimensional position, velocity, and time, 24...
CUF hawana wakati wa kurudi mezani na mtu huyu maana hata kwenye Chama chake amewekwa kama tools tu hana mamlaka ya kuthaminiwa maamuzi yake as a tools ni kwa matumizi tu.Na ikiwa mtu wenyewe...
Natafuta wachezaji kutoka afrika hasa watanzania kuja kujaribu soka hapa.
Uwezekano wa kupata timu ni mkubwa kama yeye ni mchezaji maana atajaribiwa ktk timu nyingi na za daraja tofauti.
Asiwe...
Sasa mie expert! Lakini bado si expert sana lakini ninazo mia mbili Uwiii! mia mbili, mia mbili na upuuzi mwingine!:confused::mad::p:eek: hizi nazipenda ninazo kama mia mbili na upuuzi mwingine...
Namtafuta rafiki yangu aitwaye TANU OKONGO rafiki yangu huyo tulisoma wote katika shule ya msingi Mihayo pale Tabora mwaka 1975. toka mwaka huo tulipomaliza shule ya msingi sijamuona tena...